Jinsi ya kufaulu Kidato cha Tano

RobeCisco

Member
Apr 25, 2022
23
23
Habarini natarajia kuingia form five PCB combination so nilikua nataka kujua tips za kuweza kufaulu na mwenye ushauri anaweza kunipa.
 
Tips za kufaulu tumia ulizotumia o level na uongeze msuli.
Bila kusahau kuwa na heshima shule
Na Mungu wako umtangulize
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom