Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja.
Mtindo huu umefanya makampuni ya mitandao ya kijamii kuanza kuzibiti mfano kama usajili wa simu sasa ila sio kote...
👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo.
👉 Hatua hiyo imeibua mjadala mkubwa kimataifa kuhusu namna siasa na diplomasia zinavyoweza kubadilishwa...
Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.
Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.
Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.
Nyongo...
Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye uzito—kuanzia utafiti wa kisayansi hadi kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini.
Dkt. Kayumba ana...
Rais wa Marekani Donald Trump amechapisha ramani kwenye mtandao wake wa kijamii Truth Social ikionyesha Strait of Hormuz ikiwa imepewa jina la “Strait of Trump,” badala ya jina lake rasmi la Strait of Hormuz, maarufu Mlango Bahari wa Hormuz.
Mlango huo wa bahari ni mojawapo ya njia muhimu zaidi...
Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa.
Walipewa majina ya kigeni.
Walifundishwa lugha za kigeni.
Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni
Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao.
Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa.
Walivisha kongwa...
Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani
Mbwa ni mlinzi mwaminifu
Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti
Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?
Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao.
Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako.
Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
Hello
Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa.
Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru ungechelewa sana.
Kama ilivyokuwa kwa Steve familia ya Nyerere inahaki ya kutoka hadharani na kumpiga stop...
Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k
Nigeria tayari wameshatembea na upepo
Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye.
Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu...
Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi.
Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that...
Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
Nakumbuka kipindi fulani watu walikuwa wanauita uwanja wa Benjamin Mkapa "Kwa Mchina" hadi akatokea mtu akasema watu wawe wazalendo wauite kwa jina lake halisi au walau wauite "Kwa Lupaso".
Hivi karibuni kuna wasemaji wa timu fulani wameupachika jina jipya uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar...
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.
Naona kuna kasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.