Kuna uwezekano wa uwanja wa Arusha usipewe jina la Samia?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,773
Reaction score
6,904
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.

Naona kuna kasi ya kujenga viwanja vingi Zanzibar. Sasa hivi vimefika hadi vitatu kama siyo vinne vinapendekezwa kutumiwa kwa ajili ya AFCON huku Tanganyika hakuna uwanja hata mmoja ulio tayari.

Inawezekana wanajiandaa kwa uwezekano wa AFCON kufanyika Tanzania bila kufanyika Tanganyika?

Kuna picha linaonekana linakuja huko mbele, watu wanaandaa kete zao ila sijui wengine mmejiandaaje.....
 
Uitwe tu GWAJIMA, Samia anaweza kukimbia nchi maana kukamatwa kwa mafwele mmh!
 
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.

Naona kuna kasi ya kujenga viwanja vingi Zanzibar. Sasa hivi vimefika hadi vitatu kama siyo vinne vinapendekezwa kutumiwa kwa ajili ya AFCON huku Tanganyika hakuna uwanja hata mmoja ulio tayari. Inawezekana wanajiandaa kwa uwezekano wa AFCON kufanyika Tanzania bila kufanyika Tanganyika?

Kuna picha linaonekana linakuja huko mbele, watu wanaandaa kete zao ila sijui wengine mmejiandaaje.....
Tanganyika uzoba umezidi.
 
Sawa mkuu,kama mnaona nitafaidi sana mkiuita uwanja kwa Jina langu sio kesi...Sisi wananchi wa chini hatuna haki nchi hii.
usijali unaitwa nani boss,ili tulipendekeze jina lako
 
Hii ya awamu hii ni Zanzania mkuu sio hyo old School ya mwalimu tumei rename
 
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa jina lake. Hapo italeta picha gani? Hapo hata Motsepe mwenyewe atawakimbia.

Naona kuna kasi ya kujenga viwanja vingi Zanzibar. Sasa hivi vimefika hadi vitatu kama siyo vinne vinapendekezwa kutumiwa kwa ajili ya AFCON huku Tanganyika hakuna uwanja hata mmoja ulio tayari.

Inawezekana wanajiandaa kwa uwezekano wa AFCON kufanyika Tanzania bila kufanyika Tanganyika?

Kuna picha linaonekana linakuja huko mbele, watu wanaandaa kete zao ila sijui wengine mmejiandaaje.....
Nashukuru umeona hilo!
Mechi nyingi za AFCON'27 zitachezwa Fumba na Amaan Unguja!
Kifupi Wazanzibari wameamua kujibrand!
WaTanganyika punguzeni matarajio!

Kuhusu jina, tayari zile mbwembwe za kuita uwanja wa Arusha SAMIA zimeisha!
 
Back
Top Bottom