Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa.
Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya.
Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni ,
1.Muhoozi Kainerugaba
2.Patrice Rwambogo
3.Natasha Museven Karugire
Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana.
=======
Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023.
Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
Usikimbilie kusajili bila kujua tofauti yake! Watu wengi huchanganya Business Name na Company, na mwisho wake wanaweza kuchagua mfumo usioendana na mahitaji ya biashara yao.
Watu wengi wanaanzisha biashara lakini hawajui kama wanapaswa kusajili Jina la Biashara (Business Name) au kuanzisha...
Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo.
Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo maalumu au wanaitwa wakataa/ wasioamini uchawi, wasioami spiderman, wasioamini uwepo wa sungura...
dewji
foundation
jina
kwa jina
kwa majina
line
majina
makampuni
makampuni ya simu
matangazo
matapeli
mikopo
mo dewji
mo dewji foundation
mo foundation
mtandaoni
simu
wananchi
zao
Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP.
=================
Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
Wanabodi,
Angalizo.
Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
Nukuu za Dossa Aziz na Harakati za Uhitaji
Dossa Aziz anatajwa kama mtu aliyekuwa na utajiri mkubwa ambao aliutumia kufadhili chama cha TANU na viongozi wake:
Dossa kama "Benki": Wakati wa harakati, bili zote za chakula na vinywaji za kamati ya ndani ya TANU katika hoteli ya Princess zilikuwa...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali.
Wafanyakazi hao...
Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume?
Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
angola
baraka
hospitali
hospitali ya rufaa
jina
kabla
katika
kufanya
kupaa
mama maria nyerere
mgeni
mgeni rasmi
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
rais
rais samia
rasmi
rufaa
samia
ziara
Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia ,
Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo,
Utafiti huu...
usajili jina la biashara ni hatua muhimu kwa mtu anayepanga kuanzisha au kukuza biashara yake. Hizi ni faida zake:
1. Hulinda jina la biashara yako Jina likisajiliwa, linakuwa salama na linapunguza uwezekano wa kutumiwa na mtu mwingine.
2. Huongeza uaminifu kwa wateja Wateja huamini zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.