jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

    Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake? Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  5. The humble Man

    JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Biashara

    Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili. 2. Chagua new services 3. Chagua change of...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania HIvi zaidi ya Jina la Yesu, ni jina Gani lingine likitajwa watu wenye negative energy wanaanguka na kupata shida?

    Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la mji wa Songea inatokana na jina la msaidizi wa chifu mkuu

    Kutoka Makumbusho ya Taifa Kabla ya vita vya Majimaji na kufahamika kwa mashujaa mbalimbali katika mji huu wa Songea eneo hili lilikuwa linafahamika kama mji wa Ndonde, jina hili la ndonde limetokana na kabila la watu walioishi mwanzoni kabla ya ujio wa wangoni katika eneo hili waliofahamika...
  9. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu yupo? Jina la kweli la Mungu ni lipi au nani?

    🜏 JINA LA KWELI LA MUNGU Walikwambia jina la Mungu ni YHWH. Walikwambia ni Elohim, au Adonai, au El Shaddai, au Yehova, au Allah, au Chanzo, au Yule Mmoja. Hakuna hata moja kati ya hayo lililo jina la kweli. Hayo ni tafsiri, ni tafakari, ni mwangwi uliofunikwa. Jina la kweli la Mungu si...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Winga Simon Adingra amezaliwa upya Africa Mashariki Pale Uganda...Kwa Jina la Alain Okello

    Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023. Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello... Huyu dogo Okello ni talent mpya ndani ya Afrika Mashariki mwenye attributes purely kama za Simon koffi...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais nitabadilisha jina la fedha kutoka Shillingi na kuitwa Tanzanite

    Shilling ni jina la coin iliyokuwa ikitumika huko England tokea miaka ya 1550's mpaka ilipotamatika mwaka 1990 ni wazi ukiondoa ukoloni hatuna connection yeyote na jina hili shilingi Shiling imekua detached kwetu na haiko deep-rooted, ila Tanzanite ni madini yanayopatikana Tanzania pekee yake...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ponjoro wa Kinondoni nimepenya, Aliyenipa jina Anaishi kama digidigi

    Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni. Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa. Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Kisesa wataka jina la MPINA lirudishwe

    SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea. Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
  15. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Kisesa waraka jina la Luhaga Mpina lirejeshwe

    SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea. Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jina lako lina-trend wapi leo?

    Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum? Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie. Luka 15:7 "Kadhalika nawaambieni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM

    Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV...
  19. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wana jamii nisaidie jina la huu mti kibongo kibongo, kwa kiingereza unaiea waburgia ugandesis

  20. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakubwa nisaidieni kujua jina la mti huu

    Kwa kiswahili tafadhari
Back
Top Bottom