jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote. Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara ya kutumia jina moja kwenye biashara mbalimbali

    Habari wana JF.. Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja Mfano 1 JUNDOX FURNITURE'S 2 JUNDOX BARBERSHOP 3 JUNDOX STATIONERY 4 JUNDOX DIGITAL 5 JUNDOX STUDIO Naomba msada kwa wanaofahamu hasara/faida za kibiashara...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Mwinyi alivyomgomea Mwalimu Nyerere kuondoa jina lake ili Salim awe Rais 1985, ikawa ukombozi kwa Watanzania

    Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985. Ilikuwa hivi: Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar, Thabit Kombo, Salim A. Salim na Aboud Jumbe ambaye alikuja kulikoroga wakawa maadui kisa kutaka...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria inazuia kumtaja kwa jina, makazi au anwani ya mtu aliyetoa taarifa

    Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007 kinatamka kila mtu mwenye taarifa kuhusu kufanyika kwa vitendo vya rushwa au mpango wa kufanyikwa kwa vitendo vya Rushwa anawajibika kutoa taarifa kwa TAKUKURU. Ukikosa huduma katika mazingira ya Rushwa, Sheria hiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuipa mechi jina la mchezaji sio afya kwa umoja wa timu

    Viongozi wa Yanga ninaheshimu sana kazi yenu maana hakika tunaona timu ilipo kwa sasa. Ila niwaombe sana mjaribu kutumia busara zenu katika hili suala la kuipa timu jina la mchezaji siku ya mechi. Kwa maoni yangu ninaona linaweza kuharibu umoja na mshikamano kwa wachezaji kwani kunaweza...
  6. JamiiForums Tanzania SUA ni muda muafaka jina libadilike

    Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk ameokoa $ 25 billions kwenye kodi kwa kubadili jina la ''twitter'' kuwa '' x''

    Mfanyabiashara na tajiri bwana Elon Musk aliokoa takribani dola za marekani bilioni 25 kwa kubadili jina la twitter kuwa x . Sasa ipo hivi: Kwa pale Marekani, unapokuwa na public company inabidi utangaze kipindi ambacho itauza shares na kubadili shareholders. Sasa baada ya Musk kuinunua...
  8. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Umeme Dar upo, shida ni miundombinu

    Mkuu wa Mkoa wa Jiji kuu la Dar es salaam, mpeni jina zuri kanisa kutokana na kauli zake! Mimi namuita Profesori. Hiyo mikoa mingine ambayo hakuna umeme nako ni miundombinu ama umeme umekataa kuingia kwenye mabwawa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurekebisha jina katika vyeti vya sekondari na vyuo

    Wanajamii naomba msaada, Mi ni mmoja wa watu ambayo majina yetu yalikosewa wakati wa majibu ya darasa la saba, assume jina lako ni Hassan wakati wa matokeo ije Hassanae, kiukweli naboreka mno, nimesomea jina Hilo Hilo Hadi nikamaliza chuo, Sasa nimeanza masters nje jina linatokezea like lile...
  10. JamiiForums Tanzania Harmonize aandika jina la Mama yake range rover anayoimiliki

    Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini. Range Rover ya Msanii Harmonize kwenye Registration number jina linasoma Habiba Chivalavala, hilo jina sio la mtu mwengine...
  11. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo badilisheni jina la chama chenu kiwe na tafsiri cha Kiswahili

    Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO). Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni 🙏
  13. JamiiForums Tanzania Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwakuwa ameacha alama ndani ya CCM. Makonda amenukuliwa akisema...
  15. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia. Mama kaleta...
  16. JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    wakuu mambo ni vipi Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia. Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo. Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole

    Cde. Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole. KATIBU wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amewasili Mkoa wa Simiyu kwa ajili ya kufanya ziara ya kikazi, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 backo to...
  20. JamiiForums Tanzania Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…