jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Gesti unatumiaga jina gani?

    Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je? Funguka hapa chini👇
  2. Niache Nteseke

    Naomba Jina la Huu Wimbo wa Gospel Please.

    Salaam/Shalom...!
  3. Secret Star

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  4. sky soldier

    Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  5. Chachu Ombara

    Wakili Mpole Mpoki kufungua kesi 8 kupinga kusimamishwa Uwakili

    Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo. Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  6. JamiiCheck

    Mtu anavyoweza kuchafuliwa kupitia jina lake mtandaoni

    Upotoshaji kwa kutumia jina ni kitendo cha kutumia jina la mtu, kundi, taasisi au kampuni ambayo si wewe na kulifanya kama lako. Upotoshaji wa jina mara nyingi huwalenga watu, kampuni au taasisi maarufu ili lengo la mpotoshaji litimie kwa urahisi. Upotoshaji wa jina umekithiri sana katika...
  7. Webabu

    Aliyepewa jina la mfu anayetembea, Yahya Sinwar anaongoza mjadala wa kusimamisha vita mwenyewe akiwa Gaza

    Kiongozi mkuu mkazi wa Hamas,Yahya Sinwar amekuwa akiongoza majadiliano kwa umakini kwa kushirikiana na kiongozi mwenzake wa kisiasa Ismail Haniye aliyeko Qattar. Majadiliano hayo yanayosimamiwa na Marekani na Qattar kuhusu vita baina ya wapalestina na Israel yametajwa kukaribia kufikia...
  8. Doto12

    Wengi mnaochagulia wanenu majina. Jina zuri haliitwi itwi

    Si vema kila unapompa mtoto jina ukatoa like kila anapokuwa linaitwa. Kwa mfano Frank, Frank, Frank, Frank Yaani jina linaitwa watoto wengii sio poa. Au Anna Anna kila sehem Anna
  9. F

    Nyie endeleeni kutembeza bahasha za kaki, sisi wenzenu tunatengeneza pesa kwenye kilimo

    Maneno machache kazi nyingi aisee nyie endeleeni kutembea na bahasha za kaki tu sie wenzenu tunapiga mitulinga tu huku kwenye kilimo na hakika kilimo kinalipa Ona sasa karibuni nimepiga mshindo wa milioni 24 kwa kuuza ufuta na mihogo halafu anatokea jobless na mpuuzi yeye kutwa kuzunguka na...
  10. Webabu

    Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

    Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea. Baada ya hapo hospitali hizo...
  11. Nakadori

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  12. N

    Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo

    USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo? Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
  13. R

    Kitendo cha Mwenezi kudanganya umma kwamba mwenyekiti alikwenda na jina lake kwenye kikao kunawafundisha nini chawa na viongozi wengine? Aheshimiwe?

    Mtu akipotosha kwa jina la Kiongozi mkuu wa taasisi asipuuzwe. Kama aliyempeleka kwenye mkutano mkuu ni mwenyekiti na kwamba hakuna kuhoji tusipuuze. Alituambia JPM ni ndugu yake ila alimtumbua. Hii yakusema alipita kwa turugfu inatuma salam kwa viongozi wenzake kwamba wasipomtii wataondolewa...
  14. GENTAMYCINE

    Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

    Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma. Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina (...
  15. Cecil J

    Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  16. S

    Mwambieni Makonda asithubutu kulitaja taja jina la Hayati Magufuli, atatumbuliwa

    Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hotuba zake. Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa...
  17. 100 others

    Elon Musk kuisaidia Wikipedia $1 Billion, endapo tu itabadili jina

    Ni habari ambayo imeacha watu vinywa wazi baada ya CEO wa Tesla na Space X Elon Musk kupendekeza kuisaidia wikipedia msaada wa dola bilioni moja kwa masharti kama itaweza kubadili jina kutoka wikipedia kuwa 'Dickipedia', :oops: Elon Musk amesisitiza ametoa kipindi chini ya mwaka mmoja...
  18. JanguKamaJangu

    Chanzo cha Sean Paul kutumia jina hilo kisanii kimetokana na jina la Mchezaji wa Kriketi, Shivnarine Chanderpaul

    Msanii wa Jamaica ambaye jina lake halisi ni Sean Paul Ryan Francis Henriques (49) anatumia Sean Paul kuwa ndio jina lake la Kisanii lakini nyuma ya pazi ni kuwa chanzo cha kutumia jina hilo ni kuvutiwa na Mchezaji wa Kriketi Shivnarine Chanderpaul raia wa Trinidad. Sean Paul amewahi kusema...
  19. Moronight walker

    Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  20. JanguKamaJangu

    Wilaya ya Rorya yaanzisha Program ya kufuata Wananchi, yapewa jina la 'POPOTE TUNAKUFIKIA'

    Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya...
Back
Top Bottom