jeshi

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Teknolojia inavyoweza kuzuia Rushwa na kuongeza weledi kwa Jeshi la Polisi na Uhamiaji

    UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

    Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo. Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

    Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment

    Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment By Rédaction Africanews with AFP Last updated: 28/04/2023 Major General Jeff Nyagah - Copyright © africanews cleared The Kenyan commander of the East African Community Regional Force deployed to halt the advance of an...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la mtu mmoja

    Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA...
  6. JamiiForums Tanzania Kutokufanya kazi kwa mfumo wa kuripoti wizi, kunafanya raia wengi wapoteze fedha

    Kupitia mfumo wa kutoa taarifa kuhusu mali zilizopitea jeshi la polisi huwaibia raia wengi sana shilingi 500. Yaani unaweza kuwasilisha taarifa zako kwa usahihi kisha baada ya kufanya malipo mfumo unakwambia "Ripoti bado haijathibitishwa" hapo utasubiri hata siku 3 hakibadiliki kitu ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua Ampongeza Waziri Mkuu Juu ya Maelekezo kwa Jeshi la Polisi Kutatua Migogoro ya kwenye Hifadhi

    MBUNGE KALIUA, MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA MAELEKEZO ALIYOYATOA BUNGENI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE HIFADHI Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa leo...
  8. JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi huwa, jeshi la Ukraine lavuka mto Dnipro na kujipanga

    Warusi walitumia kila aina ya zana, wakashambulia na kufa sana, wakasubiriwa watumie nguvu yote hadi wakachoka maana wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kuyapangua, kwa muda Ukraine wamekua wakifanya maandalizi makubwa ya kufanya mashambulizi ya kurejesha ardhi yao almaarufu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Magereza lazindua sare mpya wa wafungwa wakike

    Jeshi la magereza nchini limezindua sare mpya ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia leo Aprili 26, 2023 kwa wafungwa wakike wote wanaotumikia vifungo vyao gerezani. Akizindua sare hizo, Mkuu wa Jeshi la Magereza Nchini, CGP Mzee Ramadhan Nyamka amewataka wakuu wa magereza katika mikoa yote...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner awatukana wakuu wa Urusi, ni wazembe na watasababisha kushindwa

    Mpasuko unaendelea Urusi, asema kuna uwezekano Ukraine wakafaulu kutembeza kichapo kwenye counteroffensive ijayo maana wakuu wa Urusi ni wazembe na wanaondoka na kuacha jeshi likiwa hovyoo. =========== Wagner mercenary chief says Ukraine's counteroffensive could succeed against Russian forces...
  11. JamiiForums Tanzania Timu ya jeshi yapanda Ligi Kuu NBC

    JKT TANZANIA WAPANDA LIGI KUU Ni Rasmi Sasa Timu ya Maafande wa JKT Tanzania kutoka Mkoani Pwani imekuwa Timu ya kwanza Kutoka Ligi ya Championship Kupanda Ligi Kuu Msimu ujao 2023/2024 Baada ya Kuichapa Timu ya African Sports Magoli Mawili Kwa Bila kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mchungaji akamatwa baada ya Waumini Wanne kufa njaa katika Mfungo

    Polisi katika Kaunti ya #Kilifi wamemkamata Paul Makenzie Nthenge wa Kanisa la Good News International baada ya vifo vya Waumini 4 na kuwaokoa wengine 11 wakiwa mahututi msituni ambapo walidaiwa kudanganywa na kufunga hadi kufa na Mchungaji huyo. Nthenge alianza kufuatiliwa mwishoni mwa Mwezi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

    Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai. Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lakamata watuhumiwa 44 kati yao wanaume ni 41 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'. Kamanda wa Jeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lawataka Bodaboda kushiriki mafunzo ya udereva

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amewataka madereva Bodaboda wa Jijini Mbeya kushiriki mafunzo ya udereva katika vyuo vilivyosajili na kutambulika kisheria na kuhitimu ili waweze kupata leseni ya udereva. Ameyasema hayo Aprili 03, 2023 katika kikao kazi cha uongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Viongozi wa Serikali na Jeshi wanahusika na Mauaji, Ubakaji

    Ripoti ya Wataalamu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) imebaini baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Sudan Kusini wamekuwa wakifanya Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Raia ikiwemo Kushambulia, Kujeruhi, Kuua na Ubakaji. Pia, Ripoti imesema Serikali haijaonesha kuweka uzito katika kudhibiti...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ujerumani ataka kufukuzwa nchini humo jeshi la US

    Mbunge mmoja wa Ujerumani ametoa mito wa kufukuzwa nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ambavyo vimekuwepo nchini humo kwa karibu miongo minane. Sevim Dagdelen wa chama cha mrengo wa Kushoto katika Bunge la Ujerumani (Bundestag) amesema kuna haja kwa serikali ya Berlin kuangalia upya...
  20. JamiiForums Tanzania Zambia yabadilisha uniform za jeshi la Polisi

    Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema hatimaye amefanikiwa kubadilisha uniform za jeshi la polisi la nchi hiyo. Hiyo ni moja kati ya sera yake ya kulibadilisha jeshi la polisi la nchi hiyo katika ufanyaji wake kazi. Zamani askari walikuwa wakivaa kaki kama inavyoonekana pichani. Na sasa askaro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…