Wakuu, kulingana na mwenendo wa kesi inayoendelea mahakama kuu divisheni ya uhujumu uchumi, tumewashuhudia maafisa wa jeshi la Polisi wakionesha kutoifahamu vizuri PGO, kifaa ambacho wao wanakieleza kama nyenzo muhimu katika kazi zao.
Hii inaleta MASWALI mengi Sana, Ni kiwewe Cha kutoa ushahidi...