jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lee Vladimir cleef

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote, liko vizuri sana

    Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana. Shida ya jeshi la polisi ni latina. Shida ni CCM, Shida ni serikali iliyopo madarakani. Hilo afrika kusini wakate wa makaburu mapolisi walifanya hivihivi,lakini serikali ilipobadilika na matendo ya askari yakabadilika. Latina yao...
  2. mshale21

    Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

    Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea ==== Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia...
  3. S

    Jeshi la Polisi halina mbinu, limepoteza sifa ya kuitwa Polisi

    Sasa ndio polisi wanatafuta balaa, hivi hamna mnaowafundisha kuchunguza ,polisi kupata habari wanategemea eti wananchi wawapelekee habari, mkiambiwa jeshi lipanguliwe mnapiga makelele ,jeshi letu limeishiwa mbinu za kufanya kazi kiuweledi wanalolijua ni kuwakamata wafuasi wa vyama vya siasa...
  4. P

    Kwa mwenye orodha ya majina ya usaili wa jeshi la polisi anisaidie

    Kumradhi mwenye orodha ya majina ya usali wa jeshi la polisi kwa zile kada/ fani maalum anisaidie
  5. Emmanuel R. Ntobi

    Uhuru wa Vyombo vya Habari unavyobinywa na Jeshi la Polisi

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
  6. Determinantor

    Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  7. M-mbabe

    Jeshi la Polisi ndilo linalowatengeneza akina "Hamza" hapa nchini

    So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko. Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
  8. Ileje

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo: Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ; Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
  9. Mystery

    Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

    Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
  10. Nyankurungu2020

    Inaweza kuwa kweli marehemu Hamza alikuwa gaidi, lakini ukweli utabaki kuwa kweli. Jeshi la polisi linafanya uonevu mkubwa kwa Watanzania

    Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama. Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi. Ni kweli kabisa...
  11. Inside10

    Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  12. Shadow7

    Taarifa Kwa Umma Toka Jeshi la Polisi Makao Makuu

  13. ACT Wazalendo

    Udhalilishaji wa Jeshi la Polisi kwa Wanawake haukubaliki

    TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutuhumiwa kuwafanyia vitendo vya udhalilishaji kijinsia wanawake...
  14. Erythrocyte

    Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  15. Lord OSAGYEFO

    Vyama vya Upinzani, fungueni kesi kupinga Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu

    Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi. Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya...
  16. Mindi

    Tuhuma za Polisi kubambikiza kesi, kunyanyasa, kutesa na kuua watu, zinahitaji hatua madhubuti

    Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
  17. mshale21

    Moshi, Kilimanjaro: Mwanamke auawa kwa kuchinjwa, Polisi yasema kuna viashiria vya visasi

    Moshi. Elice Matafu, Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuwo, Kata ya Mwika Kaskazini, Wilaya ya Moshi ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana nyumbani kwake. Mwanamke huyo ameuawa usiku wa saa 2 akiwa nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuuawa kwa...
  18. U

    Mama Mzazi na dadake Hamza waachiwa na Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limewaachia huru Mama Mzazi wa Hamza pamoja na Dadake Hata hivyo bado jeshi hilo linawashikilia watu wengine watano wa familia kwa mahojiano zaidi kufuatia mauaji ya askari watatu yaliyofanywa na Hamza hivi karibuni ===== Dar es Salaam. Wakati mama na dada wa...
  19. Ileje

    Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa kuhofia yaliyotokea Zambia

    Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika nyadhifa zao na kulinda maslahi yao. Hii inatokana na somo walilolipata kutoka kwa Rais mpya wa Zambia Mh...
  20. The Assassin

    Jeshi la Polisi mnashindwa nini kuwakamata Magaidi wakati Modus Operandi yao ni ile ile miaka na miaka?

    Kitu kimoja cha kutia faraja ni kwamba matukio ya Ugaidi Tanzania yanafanywa kwa njia ile ile kila mwaka. Iwapo jeshi la polisi watakua makini kwenye kuchunguza ama kupeleleza ni rahisi kuwakamata. Tujikumbushe matukio ya Kigaidi yaliyotokea Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni kwa uchache...
Back
Top Bottom