Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu(...
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuelezea tukio la Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Grayson Mahembe kujinyonga katika mahabusu alipokuwa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mussa Hamisi, mkoani Mtwara.
Wamesema askari huyo baada ya kutoa maelezo alifungiwa mahabusu peke yake...
Mzee Siro kutokana na uzoefu wako wa Operations mbalimbali ulizosimamia nchini kwa mafanikio makubwa tulijua unaweza kuliongoza jeshi la Polisi katika weledi mkubwa lakini matokeo yake umeonekana kushindwa kabisa kuja na mbinu mpya na za kisasa kuendesha jeshi hili. Jeshi linakuwa na kashfa...
Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
Muheshimiwa Rais,
Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili.
Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
Wazazi tulianza kufanyia kazi ushauri wa IGP alitushauri vizuri tu tena kwa roho safi kua wazazi tusizae majambazi na magaidi kama HAMZA naamini lengo lilikua kudumisha amani na utulivu nchini ni sawa wazazi tulipokea ushauri huo kwa mikono yote miwili.
Vipi yeye sasa kuongoza waporaji wa mali...
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, ametoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi likiongozwa na IGP Simon Sirro, kufanya uchunguzi wa mauaji ya watu watano wakazi wa Kata ya Zanka, kijiji cha Zanka jijini Dodoma yaliyotokea hivi karibuni.
Dkt Mpango ametoa maagizo hayo hii leo Januari 26, 2022, mara baada...
Moja ya kituko jeshi la polisi ni kua RPC alikua anashiriki kuwaokoa wauaji lakini mbele ya safari watu wakubwa nchini wakakomalia issue na kwa aibu akapiga U turn.
Yule RPC kimaadili hatakiwi kuendelea kuwa RPC hata kwa dakika tano maana nae ni mtuhumiwa na uchunguzi ufanyike haraka apate...
Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
=====
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda...
Imesikika kauli eti ya kamanda wa Kanda Maalum ya Dar, ikimtaka Askofu Mwingira aripoti haraka makao makuu ya polisi kwa mahojiano juu ya kauli ya Askofu huyo kutamka kuwa mara kadhaa alinusurika kuuawa na watu wa Serikali.
Sijui wanaenda kumhoji ili wafanye nini. Na kama alinusurika kuuawa na...
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!
I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa!
ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne.
Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo sana. Hawa watu ni watupu. Zaidi wamejivua nguo na wanazidi kujivua nguo hadharani.
Walichoweza , ni...
Wiki iliyopita nimepanda basi hili nikitokea Arusha kuelekea Kahama. Aisee hili basi linakimbia saana.
Nina wasiwasi kama limefungwa speed governor manake mwendo wake ni zaidi ya speed 100km/h hasa likiwa kwenye bara bara zisizokuwa na traffic wengi.
Kazi kwenu jeshi la polisi kabla...
Dar es Salaam. Ujenzi wa uzio wa soko dogo Kariakoo na ukarabati wa soko kubwa lililoungua moto Julai mwaka huu unafanyika chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi.
Hali hii imeonekana leo baada ya kupita siku nne tangu mkandarasi Estim Contraction Ltd anayetakiwa kufanya shughuli hiyo kukabidhiwa...
Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao.
Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
Sina mengi,
Rose Muhando akihojiwa na wasafi TV alitoa tuhuma nzito kwa jeshi la polisi na serikali kushirikiana na watu waliomtesa na kumnyanyasa kiasi cha kukosa pa kushitaki lakini cha ajabu Simbachawene unajifanya hujaona mateso ya huyu dada.
Ni lazima haki itendeke kwa Rose Muhando na...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, ametuma picha ya polisi na jeshi wakionekana nje ya nyumba yake kabla ya kampeni za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika katika wilaya ya Kayunga.
Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kutembelea katika wilaya ya Kayunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.