jengo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANAPA,TTB wajenge jengo la kisasa la kutangaza utalii Kanda ya Ziwa

    Mimi ni mwekezaji katika sekta ya utalii kanda ya ziwa lakini jambo linalokatisha tamaa ni kuwa ukanda huu pamoja kuwa na Hifadhi za Taifa za Burigi Chato, Serengeti, Sanane, Rubondo Kimisi, Rumanyika lakini hakuna jengo na raslimali watu inayoakisi nia ya serikali kuendeleza utalii wa kanda...
  2. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo la 88 Nairobi ambalo litakuwa na ghorofa 44, zege limeanza kumwagwa kwenye foundation

    Jengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44. Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wakamata gari lililokuwa na mabomu karibu na jengo la bunge wakati wafuasi wa Trump walipofanya vurugu

    Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti. Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

    Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Hilo jengo unaloliona hapo juu, lenye picha kuuuubwa ya Ernesto "Che" Guevara...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

    Jengo hili lilikua ndio sura ya mji Mkongwe Zanzibar na kivutio Kiki kikubwa cha utaliii, lakini serekali imeshindwa kulitunza. Serekali ya Oman 🇴🇲 ilikua tayari kulikarabati lakini inaonekana wamefanyiwa urasimu na watendaji wenye tamaa. === Jengo la Beit al Ajaib lilijengwa na sultan wa...
  7. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jengo la Biashara ndani ya ekari moja linauzwa

    Habari Wadau. Nauza Showroom yenye details zifuatazo: Eneo Lilipo : Kibaigwa Mjini linapakana na barabara ya Dodoma karibu na Sheli ya Olympic Eneo linapakana na barabara kubwa ya Dodoma.showroom iliyopo tulikodishia kampuni ya kuuza matractor. Eneo lina ubkuwa wa ekari moja. Documents: Eneo...
  9. Parody

    JamiiForums Tanzania Video: Jengo la Shule lenye ghorofa 5 lililojengwa miaka 85 iliyopita likihamishwa kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China

    Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea" Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania India: Watu 10 wafariki baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka

    Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India. Zaidi ya watu 25 wanahofiwa kukwama chini ya vifusi vya jengo hilo, kwa mujibu wa Kitengo cha Taifa cha...
  12. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Makerere lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa moto zimewaumiza wengi Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi jengo la Spika lenye thamani ya Tshs. milioni 500 lililojengwa Urambo nani analitumia sasa?

    Nakumbuka Sitta aliipata mwaka 2010 kutoka kwa Slaa kutokana na ujenzi wa hili jengo. Aidha, nakumbuka siku Kikwete analizindua alipokuwa Rais aliguna kisha akasema "Sasa kila mtu akijijengea hivi kutakalika kweli" Nani analitumia sasa? Maana ni jengo la hadhi ya Spika lililojengwa kwa kodi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi: Gwajima ndege, helkopta mbili wakati waumini wanakaa nje bila jengo

    Yaani Kawe CCM imetuletea Mgombea mbinafsi sana. Gwajima nilikutana naye Dallas, Texas kwenye kanisa la Umoja church miaka miwili hivi imepita. Alikuja US kununua ndege binafsi na kuuza vitabu. Alituambia tayari ana helkopta mbili sasa cha kushangaza ndege ya nini kwa kutumia pesa za sadaka...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Gwajima ameshindwa kujenga jengo la kanisa, atatusaidia nini sisi watu wa Kawe?

    Vitu vingine unajiuliza unashangaa. Kama kanisa tu limemshinda kuboresha, watu wanasalia kwenye mapagale, yale tunaita fulu suti(full suit) juu hadi chini pamoja na sadaka na zaka zote anazokusanya kila jumapili, atatusaidia nini watu wa kawe? Kanisa la Gwajima akupita pale ubungo unaambiwa ni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni Mwanza uambatane na Ahadi za ujenzi wa Barabara njia nne zinazoingia jijini na ukamilishaji wa jengo la abiria uwanja wa ndege

    Kimsingi jiji la Mwanza linapanuka kila siku na ni kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati na hususani kusini ya Jangwa la Sahara. Jiji hili ni la pili kwa Dar na pia linachangia asilimia kubwa kwenye Pato la Taifa ikiwemo kilimo, viwanda, uvuvi, madini, mifugo nk. Hivo uwepo wa miundo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tumenunua jengo lingine mtaa wa Ufipa ambapo zitakuwepo ofisi za Mabaraza yote

    Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesema jengo la makao makuu lenye ofisi za Mwenyekiti, Katibu mkuu na watendaji wengine ni mali ya chama. Kadhalika Mnyika ametanabaisha kuwa Chadema imenunua jengo lingine kubwa mtaa huo huo wa Ufipa ambamo kuna ofisi za mabaraza yote. Nachukulia huo kama...
  18. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama chenye jengo la kisasa kama CHADEMA

    Baada ya makamanda kunishambulia sana nilipoleta uzi wa uzuri wa stand ya makao makuu ya nchi, nilijiuliza kwanini wanakuwa wabishi ndipo nilipoanza kuchunguza jengo la makao makuu yao pale mtaa wa ufipa, bila chembe ya unafiki nampongeza sana Mh Mbowe kwa jitihada hizi maana jengo ni classic...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

    Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu) Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
Back
Top Bottom