Guantanamoh
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,983
- 4,170
Habari ya saizi waungwana. Nimekutana na hizi taarifa mitandaoni nimeona nije niulize maswali nijiridhishe. Kwa wataalamu wa ujenzi. Pale soko la karikaoo panajengwa foundation from the scratch au ni ukarabati gani unaofanywa? Wa Bilioni 32.
Jamani zaidi ya rangi na partition sijui kama kuna kingine cha kubadilisha.
Labda mniambie ni foundation mpya inajengwa. Lakini kwa hela hiyo hapana. Tuna matatizo mengi sana ya kushughulikia tukianza na huo umeme mnaosua sua kutuambia na hayo maji yanayo katika katika ovyo. Tanzania🤦🏽♀️
Mtatufanya tuanze kufikiria kwamba limechomwa makusudi ili watu wapate pa kupiga hela. Smh