businesslink
Senior Member
- Mar 20, 2019
- 129
- 113
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au spares) ushusu na gharama za matunzo
SOUTH AFRICA:
Sijajua kuna siri gani ya haya magari kutoka South Africa lakini sijapata kuona gari yenye namba plate za SA hapa mjini ambayo imechoka au iko kuu kuu...iwe Ford, Toyota Fortuner, Land Rover Discovery au BMW...unaona kabisa gari kama vile imetoka kiwandani....na mara nyingi ambazo nation zina namba plates za jimbo la GAUTENG...
Kila ninapouliza Why South Africa and not UK sipewi majibu yaliyonyooka kwani kila mmoja amekuja na theory yake lakini kwa kifupi wao husema:
JAPAN & SINGAPORE:
Magari ya kutoka huko niyaonayo mengi naona yamepigwa sop sop lakini sio kama ya SA lakini naona ndio yanayoonekana ni affordable kwa mwananchi mengi hapa wenye kipato cha juu na chini na lakini pia nimeona yaliyppata ajali ni kama vile Yai kwa jinsi yanavyobondeka na survival rate kwa ajali nilizoona ni ndogo sana.
UK:
Sijaona mengi ambayo yanayo shine na kuonekana mapya kama ya SA lakini huwa najiuliza hivi Mzungu anaweza kutengeza gari sub standard (ubora na usalama) kwa jili ya soko la UK au Ulaya na kisha akatengeneza gari bora zaidi kwa ajili ya soko la Africa kwa sababu mazingira na bara bara mbovu za Africa?
Naomba nifafanuliwe based on:
Ahsanteni sana waungwana

- Mengi ni magari ya kupigwa hivyo ni cheap
- Wepesi wa kuingiza Tanzania kutoka SA. Minimum wiki moja gari ishaingia
- Hakuna longo longo kubadãilisha plate
- Ushuru ni mdogo kwa sabot country of origin ni SADC
- Ubora wa gari ni mzuri Kwani yametengenezwa kwa ajili ya ya terrain ya Africa
JAPAN & SINGAPORE:
Magari ya kutoka huko niyaonayo mengi naona yamepigwa sop sop lakini sio kama ya SA lakini naona ndio yanayoonekana ni affordable kwa mwananchi mengi hapa wenye kipato cha juu na chini na lakini pia nimeona yaliyppata ajali ni kama vile Yai kwa jinsi yanavyobondeka na survival rate kwa ajali nilizoona ni ndogo sana.
UK:
Sijaona mengi ambayo yanayo shine na kuonekana mapya kama ya SA lakini huwa najiuliza hivi Mzungu anaweza kutengeza gari sub standard (ubora na usalama) kwa jili ya soko la UK au Ulaya na kisha akatengeneza gari bora zaidi kwa ajili ya soko la Africa kwa sababu mazingira na bara bara mbovu za Africa?
Naomba nifafanuliwe based on:
- Ubora na Usalama
- Gharama za kuitunza
- Bei (kutokana na Sababu hizo hapo juu)
- Ushuru
Ahsanteni sana waungwana