jamiiforums

About Jamii Forums
logox.png

JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.

JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.


Focus Areas
  • Amplification of Citizen Voices
  • Access to the Right Information
  • Data Privacy and Protection
  • Digital Rights Advocacy
  • Promotion of Stories of Change
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume JamiiForums nadhani tumeshapata Somo Kubwa na la kutosha kupitia yaliyokuwa Mahusiono ya 'Ki - Ndumilakuwili' ya Haji Manara na Zaylisa

    Ni kwamba...... 1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke 2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo . Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki 4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii nguvu Kubwa mnayoitumia wana Simba SC wa JamiiForums Kunisema leo mngeitumia kuondokana na Umasikini wenu mkubwa mlionao ingewasaidia mno

    Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Adam Mchomvu afunguka alivyopikwa humu Jukwaani akimtambulisha Mkurugenzi wa JamiiForums Jahazini

    Wakuu 🤣 Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu asimulia alivyopikwa humu Jukwaani (JamiiForums) wakati akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo kwenye kipindi chao cha Jahazi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Hakika JamiiForums ni Kisima na Taswira Halisi ya Watanzania Wengi

    Kiukweli nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala mbalimbali hapa jukwaani,nilichojifunza Mosi: Ikiletwa hoja inayolinda maslahi ya Tanzania,Wengi huungana kutetea maslahi ya nchi bila kujali itikadi, hapa ndipo wachache huwabagua waliowengi kwa kuwaita wenzao wapinzani. Pili: Inapoletwa hoja...
  5. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutumie JamiiForums badala ya Facebook, TikTok, Instagram na mitandao mingine ya Kijamii

    Wakuu, JamiiForums ni jukwaa la watanzania wote, ambapo ndani yake unapata kila kitu tena kwa ubora na weredi wa hali ya juu ikiwemo habari, burudani, michezo, mapishi, siasa, uchumi, lugha,nk JamiiForums faida zake ni nyingi sana kama vile ina'save' data/bando ukilinganisha na mitandao...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wana JamiiForums. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management] Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati

    Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 JamiiForums wamechapisha taarifa inayosema 'Lissu aigawa CHADEMA

  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

    "Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

    Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache. Na hata nikimuangalia Mkewe...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeweza kuondokana na addiction ya JamiiForums

    Niliijua JamiiForums 2013 wakati nimemaliza mafunzo ya JKT. Nilikuwa nikifukuzia ajira za majeshi na idara za ulinzi. Sasa wakati naandika jambo google nikajikuta nimeletwa JF. Nilishangaa sana kuona kitu amazing. Kwakweli JF iko vizuri, nikawa napata updates za ajira mbalimbali , taarifa za...
  12. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imeboresha mwonekano wake kwenye Kurasa za Mitandao ya Kijamii kuwa wa Kisasa na rahisi Kuhakiki maudhui yake

    JamiiForums imeboresha mwonekano kwenye Kurasa za Mitandao ya Kijamii ili kukupa Mwonekano wa Kisasa na rahisi kwenye kuthibitisha Maudhui yake Mwonekano huu mpya unalenga kuwapa wananchi nafasi zaidi ya kushiriki kwenye Mijadala mbalimbali inayoendelea hapa Jukwaani JamiiForums.com na zaidi ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Data Privacy Day: JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub kufanya Mjadala kuhusu Sera za Akili Mnemba (AI) Januari 28, 2025

    Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika kwa ujumla inashuhudia mapunduzi makubwa ya Teknolojia ikiwemo Teknolojia ya Akili Mnemba ambapo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dj wa JamiiForums tafadhali Sisi wana Simba SC tulioko hapa JamiiForums tunakuomba utuwekee ule Wimbo wenye Kiitikio cha Wivuuuuuuu........Wivuuuuuuuu

    Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa International Games and Competitions akiwa zake ama Afrika Kusini au Ivory Coast akiwa busy Kuwatafutia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania wana jamiiforums mliowahi kufanikiwa hapo awali lakini sasa mmeporomoka, kilitokea nini ?

    Share experience yako, ni makosa gani mliyofanya ? kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ? Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ? Kuna watu waliochangia kwenye kuporomoka ? maamuzi gani magumu mlifanya baada ya kuporomoka ? maisha yenu ya sasa yanatofautianaje na...
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums heri na baraka ya mwaka mpya 2025!

    Nawatakia wana JamiiForums na Management, heri na baraka za mwaka mpya 2025! Mwaka huu uwe wa mafanikio, furaha, na amani kwa kila mmoja wetu. Ninawaomba uongozi wa JamiiForums iendelee kutunza siri za wateja. Ni muhimu kwa usalama na faragha yetu sote. Tafadhali hakikisheni kuwa taarifa...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mfano mimi nianze kutaka Ukurugenzi JamiiForums Maxence Melo atakubali?

    Mara nyingi Max huwa anadai JamiiForums sio mali yake ni mali yetu. Sasa nikianza kufanya harakati za kutaka ukurugenzi mnadhani Max atakubali? Sasa jiongezeni na kule kwa yule kamanda. HALAFU MODS HUU UZI SIO WA KUFUTA, BORA UENDE HATA CHIT-CHATS.
  20. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
Back
Top Bottom