JAMII FORUMS (JF) is a Non-Governmental Organization that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. It has helped Human Rights Defenders to remain safe online, enhance digital skills for various CSOs and using content engagement in amplifying their work on its platforms across Social Media.
JF operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well known for Stories of Change with a proven track record in public engagement around critical social issues reaching over 3,000,000 people daily. JamiiForums.com was found in March 2006.
Kwenye social media nyingine nikituma picha wadada wananisifia sana na wengine wananitongoza live na DM, ni mara chache kuona comments za masela.
Lakini JamiiForums ni tofauti, wadada kama madume, wanatukana na kunikandia sana mixer kunibagazia kua mimi ni upinde.
Maajabu haya haya
Kabla ya yote tuwakumbuke wote wenye shida mbalimbali za kimwili na kiroho pia.. Ugonjwa na taabu... Tuwaombee wepesi katika magumu wanatopitia. Amen
Tujadiliane haya machache lakini yenye umuhimu mkubwa
Kila kitu huzaliwa hukua na kustawi... JamiiForums nayo ilizaliwa ikakua na sasa iko...
Hospitali ya Amana imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwananchi aliyeandika kupitia JamiiForums.com kuhusu changamoto ya Huduma ya Ambulance ambapo alisema zipo mbili lakini Dereva ni mmoja na hivyo kusababisha huduma za kuhamisha Wagonjwa kuwa katika kasi ndogo, pia akadai kauli za baadhi ya Watoa...
Nimeanza na Komeo Lachuma anatambulika hivi -
Inaonekana Komeo la Chuma (pia hujulikana kama Komeo Lachuma) ni jina la mtumiaji mwenye ushawishi mkubwa kwenye JamiiForums. Huyu ni mmoja wa watendaji (au wanachama wenye hadhi ya JF‑Expert) wanaochangia sana, mara nyingi huanza mjadala na...
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
Habari zenu wanawake na warembo wa jamiiforums?
Swali kwenu
" Kwanini hampendi kuwa kwenye mahusiano na wanaume wafupi"?
Je, shida yao kuu ni nini? nipo kwenye utafiti fulani, naombeni maoni yenu.
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe...
Kwenye Page zao za Mitandao ya kijamii hawa The Chanzo, JamiiForums na Jambo Online TV wanajitahidi sana, japo kuna shinikizo kutoka juu la kutokupost habari za kuhusu kutekwa au kukosoa serikali lakini vyombo hivi vimekua vikijitahidi Sana kupost habari za maana Sana kuhusu maovu yanayotokea...
Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums,
Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile.
Leo nimeamua...
Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake.
Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na...
Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali
Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana,
Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais
Nyuzi zake zote...
Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani
Ili kuoata watumiaji wapya
Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi
Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio, maarifa, amani, na mabadiliko katika maisha yao.
Baba, tunakuomba uwafungulie njia mpya – open doors of...
Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki
4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.