Legal Gurus mliopo hapa JamiiForums hebu tusaidieni katika hili kwani nahisi kuna Watu wanakwepa wajibu wao

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,406
2,000
Kwa ninavyojua Mimi ni kwamba kama ukiwa na Usafiri wako na ukaenda Ofisi fulani au katika Duka fulani (hasa hizi Supermarkets) mbalimbali na bila Kusahau na Mahotelini basi Mwenye Dhamana na Ulinzi wa Chombo chako cha Moto (Gari) ni hao wenye Kampuni au Sehemu husika ambayo unakwenda kupata Huduma yako au hata kama ukiwa umeenda Kutembea tu.

Je, Mzukulu ninauliza ni kwanini ukienda haya Maeneo tajwa hapo juu utaona kuna Kibao kikubwa tu kimeandikwa PARK AT YOUR OWN RISK / PARKING AT YOUR OWN RISK? Kwahiyo hapa wanaoweka hili Tangazo huwa wanamaanisha kuwa hata kama ukiwa Umepaki hapo Gari yako na umeingia kuata Huduma kila mara uwe Unalichungulia Gari lako kwa Dirishani au labda Ulibebe kabisa?

Wanasheria Nguli/ Wabobevu (Legal Gurus) mliopo JF hebu tupeni Ufafanuzi juu ya hili kwani nahisi kuna Watu wanakwepa mno Majukumu yao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom