Happy ngowi
Member
- Mar 5, 2020
- 6
- 2
Hellow Jamii Forum members,Jamani,nimefurahi sana kuwa hapa.naomba ukaribisho tafadhali.mgeni mie nawasalimu sana
Sicha mbe,ngiendelea usha tiki,wambe safo.Asante kwa ukaribisho kaka
Haika awae karibu sana.
AsanteeKaribu Sana jf jisikie uko sehemu salama na elimu ya kutosha
Sababu single mother sio binadamu au?Kama ni single mother huitajiki uku jamvini
Karibu Happy hili ni jukwaa huru.Sababu single mother sio binadamu au?