Kwanini Benki ya Dunia hupenda kukopesha zaidi kwa ajili ya huduma za jamii na sio viwanda?

YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,381
2,000
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
 
M

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,510
2,000
Kila bank huanzishwa kwa malengo maalumu, kuna bank nyingi tu si naweza toa mikopo ya aina hiyo, sio lazima world bank. Pia serikali hazijengi viwanda siku hizi, ni private sector, serikali zimejikita kutoa huduma za jamii, kiwanda kipi kimejengwa na serikali? Pia MTU kama dangote naamini anaweza kopa bank ya dunia.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,512

The World Bank only offers loans to countries for institutional or infrastructure development projects.

dodge
 
W

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
1,526
2,000
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
Ili mpate akili, muwe na siha njema,mazingira rafiki kwenu kuishi.

Haya mangine ya viwanda tupambane maana tunakuwa na kila kitu kwa msaada wa mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,783
2,000
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
Jukumu la msingi la serikali ni huduma za kijamii na sio kufanya biashara au kujenga viwanda. Kama WB inaikopesha serikali ulitegemea iikopsheje kwenye ujenzi wa viwanda wakati sio jukumu la serikali kujenga viwanda? Very simple logic!
 
M

MESHACK WARIOBA

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
615
1,000
Mkuu, ndio umuelekeze ili aelimike kuliko kumtweza kama unavyo fanya hapa
Hii ndio changamoto ya Africans wengi, nimekuwa huko najua hili tatizo.
Tunapokosoa hatusahihishi/ Tunamweleza mtu kuwa this is wrong bila kumwambia which is right.

Kwa waliopata kuwa na Kiongozi/Bosi Mzungu watanielewa; Mzungu akikukosoa lazima akusahihishe, hakosoi tu( Hiyo i ekuwa sehemu ya Utamaduni wao)

Hata shule za wabongo, wanakwambia wanasahihisha mitihani, Kiuhalisia ile sio kusahihisha mtihani; ni kukosoa, Shule chache sana wanasahihisha na kumwacha mwanafunzi haelewi kosa lake.
 
ORCA ACE

ORCA ACE

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
260
500
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
Duh sasa huu ni uhuni, anayekopesha anakuopesha ela zake, wewe kapuku mwenzangu mie unahoji?? dah ningekuwa WB ningekupa jibu ilo nadhani ungeishia kuificha sura yako.
Si bora hata yeye anakopesha wewe zako nadhan unaziweka kwa mabar made tu mida ya jioni.
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
10,960
2,000
Ukifuatilia mikopo mingi ya benki ya dunia iko zaidi kwenye. Huduma za jamii kama afya ,elimu,barabara,umeme,nk lakini kwenye viwanda mfano vya kuzalisha bidhaa za kuuza nje huwaoni, kulikoni?
Nataka nikafungue account bank ya dunia
 
Top Bottom