Kwa upande wa CCM, huduma za afya zinachukuliwa kama huduma za msingi zinazolenga kupatikana kwa urahisi, gharama nafuu na kuweza kujenga taifa la wachapa kazi. Na mifano ya awali ya kilichofanyika kama kuongeza vituo vya afya kutoka 718 hadi 1,205; zahanati kutoka 6,044 hadi 7,242; hospitali za...