Wiki tatu zilizopita, niliandika humu Jamii forums, juu ya kuishauri serikali kufungua mpaka wa Mozambique na Tanzania ( Mto Ruvuma). Ili kuruhusu korosho ya Mozambique kuingia Tanzania, nikaeleza kinaga ubaga sababu ya hoja zangu. Nashukuru wenye mamlaka wamechukua maamuzi, mpaka umefunguliwa...