jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

    Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu... Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
  2. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwanamke kufanyiwa Kitendo kama hiki hadharani?

    Je Kisheria Ni Sahihi Mwanamke Kufanyiwa Kitendo Kama hili? Je Kimaadili Ni Sahihi Mwanamke Kitendo Kama Hiki Hadharani?
  3. JamiiForums Tanzania Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kama Zimbabwe kukataa kusign hii UN convention against torture ni jambo la kusikitisha na kushangaza sana

    WHY HASN’T ZIMBABWE ADOPTED THE UN CONVENTION AGAINST TORTURE? – CONSTITUTION WATCH 6 / 2019 By Veritas28 June 2019Analysis and Comment, Democracy, Human Rights, Legislation 2 Introduction 26th June was the International Day in Support of Torture Victims. Yet another 26th June has come and...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kukitokea utata wa jambo, wananchi tunatakiwa kuwahoji Rais na Mawaziri au Wabunge?

    Ni utaratibu uliozoeleka kwa jambo lolote likitokea wananchi kuomba ufafanuzi kwa mawaziri, au wakimlilia Rais. Lakini kwa utaratibu wa siasa za uwakilishi si ilitakiwa tuwapigie kelele wabunge na mkubwa wao Spika. Mfano bei ya mafuta ya kula ikipanda, Tozo ikiongezeka, mkataba wa gesi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jambo muhimu sana kwa wataalam wa Madini

    Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni. Kuna kipindi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna jambo gani katika noti za Tsh 500? Mbona watu wapo radhi kuzinunua kwa gharama kubwa?

    Wakuu habari za muda na wakati huu, Kwa sasa kumekua na wimbi la watu wanaotafuta noti za shilingi 500 zile za zaman mpk wanadiriki kutoa dau nono kwa yeyote aliyenazo, unakuta mtu anatoa mpk 30,000 kwa ajili ya noti moja ya 500. Je, kuna kitu gan cha special kias kwamba mpaka mtu anatoa kias...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maono au tafsiri gani juu ya jambo hili?

    Natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu. Leo ni mara yapili naona paka wakifanya mapenzi. Nilikuwa room mapema leo nikasikia kelele za paka kwa nje, kucheck kupitia window naona paka wakifanya yao juu ya ukuta wangu. Baada ya kumaliza paka jike akajilamba mwili mzima then akaondoka. Mara ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu

    Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi tungewaunga mkono RENAMO, na jamhuri ya Rombesia ingezaliwa, lisingekuwa jambo la manufaa kwetu?

    Katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Msumbiji(1977-1992). Tanzania ilikuwa ikiwaunga mkono wajamaa wenzao FRELIMO dhidi ya RENAMO. Kawaida tulikuwa tukiaminishwa kuwa RENAMO ni waovu wasiofaa, lakini mtu kadri unavyokuwa na kupata habari zaidi unaelewa kuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jambo la Muhimu ukiamua kufuata kilimo

    Kilimo kinafaida kama sheria zake zikizingatiwa kuna mambo usipo yazingatia kwenye kilimo basi nakuhakikishia utaambulia maumivu au hasara kitu kama ufuatiliaji kama hauna ufuatiliaji mzuri wewe binafsi au mtu anaye simamia basi hasara ni uhakika —Kilimo kinafaida kikizingatiwa
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Utulivu huleta maamuzi sahihi kwenye kila jambo

    Habari zenu wadau .? Mimi nitaandika kidogo kuhusu utulivu wa mtu na jinsi unavyoweza kumsaidia myu katika kuaminiwa, au kufanya jambo lolote lile katika maisha ya kila siku. Ni maanaya utulivu.?? Utulivu kwangu mimi nasema ni ile hali ya mtu kujipa tafakari la muda kiasi utakao msaidia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuna funzo kutoka Japan, nchi yenye uhaba wa dustbin lakini safi kimazingira kuliko maeneo yenye dustbin katika miji yetu

    Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo msafi ilihali ni nadra sanaa kuona dastibini au mahara pa kutupa takataka katika maeneo ya public...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  18. JamiiForums Tanzania Tuache kabisa kuchezea sheria za nchi kukomoana. Ugaidi si jambo dogo

    Wasalaam wanajukwaa, Naweza kudiriki kusema kwamba kuna mahali kama taifa tumeshiba sana tuna la amani na ulivyo na amani tuliyonayo ndiyo maana kikundi kidogo cha watu wachache wasiofikiria mbali hakioni aibu kumbambikia kiongozi mkubwa kesi mbaya ya ugaidi ilimradi tu akose dhamana akae...
  19. JamiiForums Tanzania Jambo gani litatokea kesho? Kanisa la Ufufuo litazungukwa na askari?

    Hili ni jambo dogo lakini linanihangaisha sana ninapolifikiria. Askofu Gwajima anahatarisha afya ya Watanzania kwa kukataa chanjo na kuwashajiisha watu wasichanje. Lakini jambo gani litatokea? Askofu Gwajima anashusha hadhi ya Bunge. Hiyo ni kiashiria ya Askofu kufukuzwa ubunge? Askofu huyu ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nadhani umeme kijijini hautawashwa Japo nyumba Zina umeme?

    Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji vingi saa tano utadhani umeme hakuna. Wakati wanawasha taa chache kwa muda mchache walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…