jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

    Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
  3. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ushawahi kuwaza jambo hili?

    Habari watu wa taifa tukufu linalotetewa na timu ya Simba pekee kimataifa kila mwaka! Basi katika medali ya muziki hapa nchini na duniani kwaujumla ulishawahi kutokea kuupenda wimbo flani ulioimbwa nawasanii wawili au zaidi lakini hapohapo ukatamani wimbo huo ingependaza zaidi kama angeimba...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania 2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

    Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu. Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
  5. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna genge linataka kukwamisha juhudi za Rais?

  6. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai

    Huko Magu, Mwanza aliyezikwa 2008 kaonekana akiwa hai. Mko wapi COSTECH kufuatilia taarifa, kama hii, ili sayansi yake iwe "documented"?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

    Angalieni video hapo chini? Kwanini Mbowe hafungwi pingu? Kulingana na maelezo ya Polisi, Mbowe ndio kinara, sponsor, na mastermind, wa tuhuma zilizoko mahakamani. Polisi wanasema Mbowe ndiye aliyewa-recruit washtakiwa wenzake watatu wakafanye waliyotaka kufanya. Bila Mbowe kuwa na malengo...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

    Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
  9. CCM Music

    JamiiForums Tanzania The Lobbying Street: Mahali kila connection inakopatikana, Mahali kila Jambo linawezekana!

    Wanabodi. Kwa miaka ya sasa, hakuna kitu muhimu kama kuwa na connection. Kwa sasa hata watu husema it doesn't matter what you know but what matters most is who you know. Well, kuna watu kibao wanateseka namna gani ya kuonana na mtu fulani labda kuwasilisha jambo lake kwa gharama yeyote ile...
  10. Flowerpot

    JamiiForums Tanzania Hili jambo la internet serikali inabidi waliangalie vizuri

    Naona serikali imefocus kwenye tehama kila siku nalisikia hilo neno, lakini ni kama unafiki hivi. kwasababu technologia nyingi sahivi zinahitaji internet. Sasa tutaendeleaje kwenye upande wa tehama wakati chachu yenyewe serikali yenyewe wameiondoa? Mfano sisi wanafunzi wa upande wa IT na comp...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

    Naomba nianze kwa kusema yafuatayo; Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi! Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa! Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto! Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
  12. Copolla

    JamiiForums Tanzania Hilo jambo mnalionaje? Mwanamke kumwacha Mwanaume wake kwa madai ya kamchoka

    Kuna rafiki angu wa karibu amenambia majuzi ameachana na girlfriend wake ambae wamedumu takribani mwaka mzima na kwa jinsi nilivoona mwenendo wao walikuwa wanapendana sana. Kinachonishangaza ni sababu walioachana, mwana anasema eti demu alimchoka tuu, yaan jamaa anasema ilifika kipindi yule...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS kutumia zaidi ya bilioni 600 bila idhini ya Bunge, ni jambo litalopita kama yalivyopita mengine mengi

    Eti leo Kamati ya Bunge ya Kusimamia Mashirika ya Umma(PAC), imekuja na taarifa kuwa TANROADS wametumia zaidi ya shilingi bilion 600 bila ya idhini ya Bunge na kwamba taarifa ya TANROADS inatia mashaka (kuna uongo). Binafsi najiuliza katika hili ni nini cha ajabu? Je,taarifa za aina hii...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

    Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, kujaladia madaftari lilikuwa jambo muhimu kiasi gani enzi za uanafunzi wako?

    Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma. Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

    Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Usafiri na usafirishaji wa anga ni jambo la 17 la Muungano, Tujikumbushe mambo 22 ya Muungano

    Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Muungano 02. Mambo ya nje 03. Ulinzi na Usalama, 04. Polisi 05. Mamlaka juu ya mambo yanayohusu hali ya hatari,. 06. Uraia. 07...
  19. Travis 1

    JamiiForums Tanzania WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

    Au tatizo hili ninalo mimi tu? ---Update---
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Jambo Limezua Jambo: Mifano Hai katika Siasa zetu...

    Kama wewe umekuwa mfuatiliaji mzuri wa siasa zetu unaweza kukumbuka jambo moja ambalo lilianzia padogo lakini mwisho likaishia kuwa jambo kubwa kwelikweli....Sakata la Dowans ni mfano mmoja liliishia kuondokana waziri mkuu... Jambo gqni liliwahi kuanzia padogo likaja na makubwa...nitarudi.
Back
Top Bottom