Je, kuna maono au tafsiri gani juu ya jambo hili?

Latvia

JF-Expert Member
May 2, 2019
629
4,509
Natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu.

Leo ni mara yapili naona paka wakifanya mapenzi. Nilikuwa room mapema leo nikasikia kelele za paka kwa nje, kucheck kupitia window naona paka wakifanya yao juu ya ukuta wangu.

Baada ya kumaliza paka jike akajilamba mwili mzima then akaondoka.

Mara ya kwanza Ilikuwa usiku, niliwaona paka wawili wakifanya yao karibia na barabara nikawapiga full light lakini hawakuachiana, walijisogeza taratibu wakaingia kwa kichaka while dushe bado lipo ndani mwa paka jike.

Je, kuna tafsiri au maono yoyote juu ya hili katika maisha yangu halisi?

Aione: Mshana Jr
 
Mimi naamini Mungu ndie mtoa tafsiri wa kila sintofahamu/ndoto aotazo mwanadam, ila huwapa hikima hiyo kidogo na kwa uchache wanadam. Nakushauri muombe Mungu atakuoa kitu sahihi kabisa
 
Siku hizi mapaka ya bar yanakuja kufanya yao mbele ya watu wala hayawazi.
 
Natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu.

Leo ni mara yapili naona paka wakifanya mapenzi. Nilikuwa room mapema leo nikasikia kelele za paka kwa nje, kucheck kupitia window naona paka wakifanya yao juu ya ukuta wangu.

Baada ya kumaliza paka jike akajilamba mwili mzima then akaondoka.

Mara ya kwanza Ilikuwa usiku, niliwaona paka wawili wakifanya yao karibia na barabara nikawapiga full light lakini hawakuachiana, walijisogeza taratibu wakaingia kwa kichaka while dushe bado lipo ndani mwa paka jike.

Je, kuna tafsiri au maono yoyote juu ya hili katika maisha yangu halisi?

Aione: Mshana Jr
Mmh kwanza ni nadra sana kuwaona paka wakinyanduana kwakuwa hujificha sana.. Pili ni nadra pia peke kutembea wakiwa wamenasiana hiyo ni michezo ya mbwa..
Zamani walisema kuwaona paka wakinyanduana ni nuksi lakini paka wa dar wanakulana hata upenuni bila shida
Isikupe hofu maisha yamebadilika sana
 
Kuna mambo umefichwa kipindi kirefu kaa mkao wa kuyajua hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom