Hilo jambo mnalionaje? Mwanamke kumwacha Mwanaume wake kwa madai ya kamchoka

Copolla

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
232
569
Kuna rafiki angu wa karibu amenambia majuzi ameachana na girlfriend wake ambae wamedumu takribani mwaka mzima na kwa jinsi nilivoona mwenendo wao walikuwa wanapendana sana.

Kinachonishangaza ni sababu walioachana, mwana anasema eti demu alimchoka tuu, yaan jamaa anasema ilifika kipindi yule demu akamwambia "nmekuchoka bhana" bila sababu nyingine yeyote.

Huyo jamaa ndio aliemtoa yule girlfriend wake bikra, na kinachonishangaza haswa nmesikia kwa watu wengi sana wanasema demu uliemtoa bikra sio rahisi kuacha kukupenda na hata mkiachana atakuwa anakukumbuka milele na ataku appreciate siku zote za maisha yake

Sasa inakuaje Huyo demu umepita tuu mwaka mmoja akamchoka jamaa bila sababu yeyote, na jamaa kwa ninavomjua ni mtu mwema sana, hajawahi cheat/kumsaliti girlfriend wake kabisa na anajitahidigi sana kumridhirisha yule demu kila anachohitaji yule demu anapatiwa kwasababu jamaa anajiweza kifedha.

Sasa inakuaje hii inatokea, au walionambia walinidanganya kuhusu demu ukimtoa bikra anakupenda zaidi na atakukumbuka siku zote au hawa wanawake ndo hawaeleweki??

Which is which, nmedanganywa au wanawake hawaeleweki??
 
1. Mwanamke hajawahi KUELEWEKA.
2. Awe barmaid, mama wa nyumbani, church girl au yoyotee ila kwakuwa tu ni mwanamke basi HAELEWEKI

Nilishawahi pata demu tukadumu mwaka.

Kuna siku (ijumaa) alinipigia simu ""usije kwangu Nina mgeni (dada angu) anaondoka jumapili""

Juma3 nikampigie simu ""nataka kuja kukusalimia"

Alinijibu "Mgeni bado yupo sanaaa"

Huwezi amini niliamua kuchuna na mpaka leo nae kanichunia, hii ilikua January.

Yaani kwasababu ya mgeni ambae ni dada ake mahusiano yetu yaliisha..!

We HIT and RUN, Mengine ya nini?

#YNWA
 
Kama hamtunzi ..kuchokwa lazima
Jamaa kwa upande huo alikuwa anajitahidi....ila bhana hawa wanawake hawaeleweki, kuna mwanang mwingine alikuwa ana mwaga sana ela kwa demu hadi ikafika kipindi akamlipia kila kitu wakapanda naye mlima kilimanjaro(full expenses), ila bado demu alikuja kumsaliti mwana(alikuwa anatiwa mashine na mshkaji mwingne)
 
1. Mwanamke hajawahi KUELEWEKA.
2. Awe barmaid, mama wa nyumbani, church girl au yoyotee ila kwakuwa tu ni mwanamke basi HAELEWEKI

Nilishawahi pata demu tukadumu mwaka.

Kuna siku (ijumaa) alinipigia simu ""usije kwangu Nina mgeni (dada angu) anaondoka jumapili""

Juma3 nikampigie simu ""nataka kuja kukusalimia"

Alinijibu "Mgeni bado yupo sanaaa"

Huwezi amini niliamua kuchuna na mpaka leo nae kanichunia, hii ilikua January.

Yaani kwasababu ya mgeni ambae ni dada ake mahusiano yetu yaliisha..!

We HIT and RUN, Mengine ya nini?

#YNWA

Kumbe una machungu ndio maana!
 
Back
Top Bottom