Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.
Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu.
Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika...
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
JAMAA MMOJA KANIULIZA; HIVI MTIBELI UNAVYOWAKANDIA WANAWAKE UNAPATAGA KWELI WANAWAKE? JIBU LANGU NI HILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kati ya vitu ambavyo Sisi watibeli havijawahi kutusumbua ni upatikanaji wa wanawake.
2. Na sio ilimradi wanawake. Bali wanawake wenye sifa na vigezo...
Forget.
Kifupi ni kwamba,
Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga kaabisa how comes?
Kifupi ni kwamba,
JF tupo watu wa dizaini nyingi, watu wenye mawazo chanya na hasi...
MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀
Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka.
1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza...
Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao?
Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.
Ilikuwa kicheko na masikitiko.
Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
Huwa napiga mtungi, wifi yenu ana mdogo ake 33yrs umri wake, asa sijui wakati wa mchenetu jamaa anakuwa katika hali gani, maana sielewi kwa umri huo lazima kichupa kinajaa sana
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
Huyu jamaa mistari yake hapana
Utasikia
1) Wanataka nife Ili Aishi manula
2)Vyombo vya habari vinaoshwa kwenye besen
3) Hata wachawi wanajua mchawi pesa
4)Dirisha la usajili wameweka mapazia
5)Nanunua kanga mbele ya maulidi kitenge
6) Nimeongea na ndugu yangu anaitwa Maneno akasema Hana...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
Huyu Jamaa anaitwa Chibu. Chibu alikuwa tayari ameshinda tuzo nyingi sana za muziki, mpaka akawa mshindi wa tuzo za mwimbaji bora Afrika Mashariki. Sasa baada ya mafanikio hayo, akaamua kufanya sherehe kubwa ya kusherehekea ushindi wake.
Lakini Chibu hakuwa mtu wa kufanya mambo ya kawaida...
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
Wanamuita Steven Joel Ntamusano
Huyu jamaa kweli anastahili kuitwa Great thinker nimemuona kwenye mijadala mingi anayoshiriki yeye ndo huwa anaibuka kidedea bila matusi, bila kashfa yaani unaeleweshwa na unatoka umeelewa
kongole sana Mkuu endelea kutupa Elimu
Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.
Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.