Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

Huyu jamaa ni hatari huko upande wa pili

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,268
Reaction score
14,526
MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀

Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka.

1) Uturuki itoe kiasi cha U.S Dola billion 1, kwaajili ya maendeleo ya nchi yake. Ikiwa ni pamoja na kuongeza nguvu ya jeshi ili kupambana na waasi wa Somalia.💰🪖

2) Pia Uturuki impatie msichana mrembo kuliko wote ambaye atakuwa bado hajaguswa na mwanaume yoyote (Bikra) ili Uganda na Uturuki ziwe kama ndugu kwa kuunganisha damu na utawala.🤯
Muhoozi ametoa ONYO KALI kuwa Uturuki ikishindwa kukamilisha maombi yake ndani ya wiki moja, UBAROZI wake utafungwa nchini Uganda. Na Uganda itavunja mahusiano yake na Uturuki yaliyodumu kwa miaka mingi🏛️🚫

Muhoozi hapa ni mkuu wa Jeshi tu, ivi itakuwaje siku akishika nchi nakuwa Rais. Amini nawaambia atafanya zaidi ya aliyofanya Idd Amin Dada.

TUWE MAKINI SANA HAPA TANZANIA NA WATU WAKUWAPA MADALAKA MAKUBWA.
 
Back
Top Bottom