jaji

  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Salum Mwalimu: Jaji Chande ametuonyesha viwango vya Kimataifa, Wote kwa pamoja tuseme 'Ever again kwa yaliyotokea Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Jaji Chande imekidhi matarajio ya Watanganyika?

    Baada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je jaji Chade kajipandisha heshima au kajishushia heshima?

    Je jaji Chade kajipandisha heshima au kajishushia heshima? kwa mawazo yangu imemshusha sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Inawezekana Samia aliwalenga zaidi ICC aliposema ripoti ya Jaji Chande ni mali ya Raisi na asitokee mtu wa kuidai

    Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
  9. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jaji chande: Sababu za waliotekwa ni za nje ya siasa

    Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Madai ya kuwepo kwa makaburi ya Kondo hayakuweza kuthibitishwa

    "Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Tume imefanya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utaalamu wa Jaji Chande: Ripoti Huru Oktoba 29

    Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yamesababisha majeraha kwa taifa, maridhiano ni hatua muhimu kuponya taifa

    Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano na muafaka wa kitaifa ni hatua muhimu katika kuponya majeraha, kurejesha amani, kuaminiana...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kituo cha Polisi Salasala kilivamiwa na watu zaidi 150 wenye silaha, polisi walitumia mabomu na baadae wakakimbia baada ya kuzidiwa nguvu

    "Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita. Mfano, kituo cha...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kauli Mbiu zilizochochea machafuko

    Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wagombea walioenguliwa walichochea machafuko

    Baadhi ya wagombea waliokatwa kwenye vyama vyao walichochea chini chini machafuko: Jaji Chande
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
Back
Top Bottom