Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele.
Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive.
Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO
Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali?
Muhukumuni kwa haki hata kama...
-3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ?
-Whats the plan tupate ripoti yetu ?
-Inawezekana ripoti iwasilishwe
alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me.
Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani.
Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
Jaji Mstaafu Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Machi 20 katika hospitali ya Hitech Health care iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
Manning aliyekuwa pia Jaji wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki na kati, aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu...
Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu.
Romero alitoa kauli...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani.
Jaji wa Mahakama Kuu ya...
LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia!
👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Wanabodi,
Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
Wakati Mahakama ya Kimataifa Uhalifu wa Kibinadamu (ICC) ikitarajiwa kuchagua majaji wapya ifikapo Desemba mwaka huu, Jaji Deo John Nangela amejitokeza kugombea nafasi hiyo.
Kuonyesha kuwa Jaji Deo ana Baraka za Serikali ya Tanzania, Januari 28, 2026, Balozi wa Tanzania the Hague Netherlands...
Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri, kuzifundisha...and lastly kuzitumia....having higher mental faculty of reasoning!
Kutoka.mtandaoni...
Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa
Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe
Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii
Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
Ni kwamba hakuna chochote kipya kitachosaidia taifa letu.
Watu wameuwawa hadi wakiwa majumbani na kwenye vijiwe vya kahawa wakiangalia Luninga.
Mbona Tume ya Jaji Feleshi ilifunua ukweli wa wauaji Mabwe Pande na wakaachiwa huru?
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Salaam!
Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais.
Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi .
Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi.
Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa.
Nj hayo tu.
Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha!
Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi?
Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni.
Akizungumza na wanahabari jijini Dodoma siku ya Jumamosi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.