jaji

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama Tume ya yule Jaji kuhusu yale mauaji ya mwaka jana ilikuja na yale matokeo, mnashangaa nini yanaendelea mahakamani?

    Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu. Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka. Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hata kama Jaji ningekuwa mimi Kavulata angekutwa na kesi ya kujibu

    Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

    Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

    Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi. Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mahojiano kati ya Jaji Sinde Warioba na Jenerali Ulimwengu atuwekee hapa please

    Mwenye fill interview atuwekee hapa please
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Paul Kadushi hakupaswa kuwepo katika Tume ya Jaji Lila. Alihusika na makesi ya hovyo dhidi ya Chadema ktk awamu ya 5

    Kichwa cha habari chahusika. Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila. Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi cha Magufuli. Anayoyafanya Nassoro Katuga ktk kesi ya Lissu, yalikuwa yakifanywa na Paul Kadushi ktk...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Jaji Mkuu Kukemea Hukumu za Mahakama Kudharauliwa!, Mahakama Itoe Hukumu SMART Zenye Meno, Zisipotekelezwa, Mahakama Ina Ng'ata!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la Leo, nikimpongeza Jaji Mkuu George Masaju ni mtu mwenye hofu ya Mungu, hivyo ataisaidia Mahakama kutoa hukumu za haki, ambalo litalisaidia taifa na kuwasaidia Watanzania kupata haki. Pia amekemea kitenda cha baadhi ya mamlaka za serikali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushahidi kuwa Tume ya Jaji Chande haipashwi kuaminiwa and it deserves to be thrown in the dust bin

    Sikiliza ushahidi usio na mashaka kuwa that tume was a rubbish!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jaji mkuu ana lalamika ucheleweshaji wa kesi na haki.

    Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju awataka Mawakili wasiwe wanaharakati!!

    ..Kichwa cha habari kinahusika. ..Kwa kweli kauli ya Jaji Mkuu imenishangaza. ..Lakini zaidi imenisikitisha, na kuniudhi. ..Hivi Wakili ktk nchi zetu za Kiafrika, anayetetea HAKI za watu, anaachaje kuwa Mwanaharakati? ..Kusipokuwa na Mawakili wanaharakati nani atawatetea wananchi wanyonge...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  17. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Kwenye Katiba inayopendekezwa, askari hatakiwi kutekeleza amri ambayo sio halali

    Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, ametoa onyo kali kwa vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa kwa mujibu wa misingi ya Katiba, askari yeyote hatakiwi kutekeleza amri kutoka kwa bosi au kiongozi wake ikiwa amri hiyo si halali. "Hata nilikuwa ukisoma Katiba...
  18. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amepoteza hadhi ya Ujaji avuliwe ujaji, asiendelee kuitwa Jaji ili kulinda hadhi ya Ujaji ambayo inaambatana na uzalendo

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji, kauli zake zimekosa vinasaba vya kizalendo, kauli zake zimekosa ulezi wa Taifa letu kama Mzee. Hii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha

    Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi...
Back
Top Bottom