Sheikh wa mkoa wa Dar, Alhad Salum awachachamalia ITV kwa kutoweka vitakasa mikono na maji mlangoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?

Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.

Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.

Chanzo: ITV malumbano ya Hoja!
 
Kwa hyo VIP hawanawi mikono ?
Shehe wa mkoa wa Dsm alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?
Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.
Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.

Source ITV malumbano ya Hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa bana si anunue cha kwake atembee nacho!

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ
 
Hapohapo nisaidieni kumuuliza Sheikh, vitakasa mikono katika yaliyomo kuna 'kilevi' je kwa Dini yake ni sahihi kitumia kwa kunawia? Sio najisi?
 
Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni?

Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa.

Mtangazaji Kivuyo alisema vitakasa mikono vipo kuanzia getini labda kwa sababu shehe alipitia VIP.

Chanzo: ITV malumbano ya Hoja!

Kwahiyo VIP hawanawi na wala hawawezi ambukiza au kuambukizwa Covid 19? shame on ur ITV.
 
Ipi hiyo bwashee?!
Hui sio ustaarabu wa JF. Nadhani kuna wakati watu walikuonya kuwa kuitana bwashee sio sawa.
Bwashee kwa watu wa maeneo fulani ni utambulisho kuwa huyo mtu ni mwanaume, sasa JF member kama hajajitambulisha kuwa ni mwanaume au mwanamke unajuaje kuwa ni mwanaume? Ndio maana kukawa na utamaduni wa Ku address wengine kwa neno "mkuu".
Utamaduni huo umedumu kwa miaka 14 sasa kwa nini wewe hutaki kuuheshimu?

Kwani ni tusi?
 
Ah ah ah... Wewe binti kwa kweli umevurugwa... msalimie mumeo

Back
Top Bottom