ITV Mnakimbizwa na nani?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Unakuta taarifa zenu mnaripua ripua tu. Kwani ni lazima kutoa taarifa nyingi?
Hamuwezi kuchuja?

Taarifa ndogondogo mnaziandalia kipindi chake. ..

Habari zenu mpo juu juu yani mtasema mnakimbizwa. . .

Hebu badilikeni mmekaa kishamba kama TBC studio ni ile ile kila siku. .

Sijui huo USUPERBRAND ni wa wapi. mbona hata ushindani haupo tuwatoe kabisa. .

Ukienda StarTV ni habari za Mwanza na kanda ya ziwa tu.

Ukienda TBC na Channel 10 ni kuunga juhudi za serikali na kuabudu na kusifu.

Alafu ndio FTA hizo. Bora zingeonesha katuni tu tujue moja. ..

HAO WOTE ZBC kabadilika kawaacha mbali.

Ndio shida ya kuwashikilia wazee.

BORA EATV AISEE
.
 
Hamia UTV mkuu, utafurahia nafsi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umeongea ukweli mtupu huku Tanzania hamna tv vipindi ni sifuri havina ubunifu yaani ukikaa ukiviangalia unaweza ukawa kichaa.
Tutaendelea tu kuweka vijisenti vyetu tununue vifurushi tuone channel za nje.
 
ITV habari hata maji sidhani kama wanakunywa...
 
Saa nzima mtu ukae unaangalia tu habari.
hivi wanafikiri hatuna kazi zingine
Mi nilishaachaga kuangalia hayo ma local channel
 
Jamaa ni kama wanakimbizwa wanavotoa habari zao nazan wanapewa ukomo wa muda wa kuongea maana wanaongea kwa spidi na hawanaga hata chembe ya uchambuzi. Hlf wanaweza kueleza habari ya mwendelezo utafikiri kila mtu alishaisikia hiyo habari hapo mwanzo. Ni wazuri wa kukimbilia ile sehem ya mwisho ya kutaja majina yao utaskia kutoka apa mkoan mara mimi ni joooooooji maraaaaaatu wa aiiiiiitivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom