TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza.

Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
FB_IMG_1644517627499.jpg
 
Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha @ITVTANZANIA na
@RadioOneStereo, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.

Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu pema peponi, Amen

View attachment 2115256
Jamani watu wanakufa kama kuku kideri.

Hebu turudi kwenye organic diet tulinde afya zetu.

R. I. P. Emmanuel Chacha
 
Back
Top Bottom