itv

ITV - Independent Television Limited (ITV) ni kampuni shirikishi ya IPP Limited. ITV ilianza shughuli zake mwaka 1994 ikiwa na kituo kimoja cha televisheni na kituo kimoja cha redio ambacho ni ITV na Radio One.

Mwaka 2009 kampuni ilizindua kituo kingine cha Capital Television na Capital Radio.
  1. Msanii

    Kukatisha matangazo Mubashara ITV dhidi ya mkutano wa ACT Zakhiem

    Tarehe 19 Februari 2023 chama cha ACT Wazalendo walifanya mkutano wao wa Kwanza ambapo viongozi wake wa kitaifa walishiriki na kuongea na wananchi. Cheche zilianza kuonekana pale aliposimama Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar ambape pia ni makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar alipoelezea umma...
  2. Jidu La Mabambasi

    Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  3. USSR

    Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  4. T

    Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  5. Pdidy

    Mwalimu amchapa mwanafunzi na kumuumiza shule ya Msingi Kinondoni, Walimu mmelogwa?

    Huyu wa leo naomba akapimwe akili jamani Yaani kwa kuumizwa kule mwanfunzi hawa walimu Sio hivi hivi wana shida ya utimamu wa akili jamani. Yaani mwenzio kachafua hali ya hewa hana wiki na wewe unaenda kurudia yale yale Hivi walimu mmelogwa?Au ndio kampeni yenu mmeiandaa 2023 kuumiza watoto...
  6. Raia Fulani

    ITV superbrand kulikoni?

    Superbrand Afrika Mashariki vipi tena. Matangazo yenu yanakatakata sana. Taarifa ya habari saa 2 ndio usiseme. Tatizo lipo wapi? Tena ni muda sasa satelite zenu zinasumbua sana hadi binafsi naondokewa na mood ya kutazama vipindi vyenu
  7. Gaganiga

    ITV na Star TV acheni udini

    Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni? Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi...
  8. T

    Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita Usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu

    Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi. Nafurahia ujio wake, mimi...
  9. GENTAMYCINE

    Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulid Kambaya unaharibu Kipindi cha Malumbano ya Hoja kwa Kuzuia Serikali isikosolewe

    Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa. Kinachonishangaza hasa Mimi...
  10. L

    ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

    Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged! Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
  11. S

    Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  12. J

    Watu wanaosema tunamrudishia Rais mchakato wa Katiba wanachangamsha Genge

    Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala Mhe. Zitto Kabwe yuko mubashara kipindi cha Kipima Joto ITV. SWALI: Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Demokrasia ya Vyama Vingi. Je, imejibu matarajio ya wananchi? Karibu! ======= Zitto Kabwe Kwa mazingira ya Tanzania, mchakato wowote hauwezi kumkwepa...
  13. Mparee2

    Bima ya Afya - Inakuwaje Mstaafu wa Serikali anufaike na Mstaafu wa sekta binafsi asinufaike?

    Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje? Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame! Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
  14. Escotter20

    ITV wahojiwe kwa utapeli

    Habari wananzengo.. Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni...
  15. J

    ITV mbona mnawaziba watu midomo kwenye mdahalo?

    Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza Achani watu watoe maoni...
  16. B

    ITV rekebisheni Pareso si mbunge wa CHADEMA

    kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku huu ITV inamtaja Pareso kua mbunge wa chadema hii haikubaliki
  17. Nobunaga

    DOKEZO Scam Alert: Kalynda E-Commerce Investment ni Qnet Inayochipukia, ITV watumika

    Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya ulioingia wa kuwakusanya vijana kisha kuwaaminisha kuna kampuni fulani inatoa commission unapofanya mambo...
  18. MUTUYAMUNGU

    Kambaya wa ITV na Radio One anautamani ukuu wa Wilaya?

    Nimemsikia bila aibu asubuhi hii akiwa Radio One akitetea mabasi yote yaanzie Mbezi/ Magufuli bus terminal bila kujali mateso wanayopata abiria wa mbali. Hivi Kambaya basi likianzia Kigamboni na abiria 10 likapitia Mbezi stendi likajaza abiria na kulipa ushuru wa stendi kisha likaendelea na...
  19. M

    ITV wametoa tamthiliya ya uzalo kutoka saa 1:30 wakaweka tamthiliya nyingine muda huo

    Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza...
  20. C

    SoC02 Taaluma yangu Mashakani

    TAALUMA YANGU MASHAKANI. Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
Back
Top Bottom