IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,778

My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.

My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki

======

Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia watanzania na hasa kwenye masuala mazima ya makosa haya ya kutumia silaha na hasa makosa haya ya kutumia nguvu.

Huwa nawaambia siku zote, sisi tunafanya mafunzo ya promotion lakini mafunzo mengine ya utayari. Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu.

Wanasema ni aibu sana gaidi kutawala nchi yetu, kwahiyo mheshimiwa waziri kwa kifupi ni kwamba tuko vizuri sana na nipeleke kwa ambao ni wachache bado wana tabu ile, nishawaambia kwamba biashara ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, nguvu ilishapitwa na wakati.
 
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.

My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki

Kwahiyo katika hawa wanaotawala nchi au waliotawala nchi kuna Gaidi?? Siro vipi tena jamani.

Maana wapinzani hawajawahi kushika nchi
 
Andersom Ndambo:
Sasa unaweza kuona hatari na hila iliyojificha kwenye wito wa kumuombea Freeman Mbowe Msamaha! Ni vile tu mpango huo ulibuma kutokana na sauti kubwa zenye nguvu kupinga mpango huo haramu.

Kuna viongozi wanaojiita wapinzani, lkn nafsi zao ni nusu ya MASHETANI. Wanatumia vipaji na majukwaa Yao ya kisiasa kughilibu Haki za wengine, kujinufaisha, na kuisaidia ccm kutawala. Wanajificha kwenye Nia njema Huku matendo Yao ni uhalifu mtupu.

Kama hoja ya kumuombea Msamaha ingekubalika maana yake ni kwamba, Hon Freeman Mbowe atahesabika mbele za Jamii na kwenye vyombo vya usalama kwamba alifanya matendo ya ki-Gaidi na hivyo kupelekea, kuondoa kabisa Ushawishi wake kwenye Jamii kwasababu ya kuchafuka au ingeweza kutumika kama propoganda Dhidi yake na washindani wake kisiasa na hivyo kumpunguzia nguvu ya ushawishi wa umma pamoja na Imani kubwa aliojijengea mbele za umma wa Tanzania na Kwenye Jamii za Kimataifa, na huo ndio ungekuwa mwanzo wa anguko la Upinzani.

Na wale mawakala wa ccm wangejipatia umaarufu, na huruma ya Umma kwa kulinganisha madhambi Yao ya usaliti na madhambi ya Ugaidi na hivyo kujiweka kwenye mizani sawa mbele za umma na hivyo kuwafanya watu wasioamini katika uwakala wa ccm, kukosa pahala pa kwenda na wale wenye mioyo dhaifu kujikuta wakiangukia mikononi mwa Hawa vibaraka wa ccm kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

Kwa utamaduni wa Utawala wa sheria nchini! Rais anaweza kutoa msahama kwa baadhi ya wafungwa kwa mujibu wa sheria. Lkn hawezi kutoa msamaha kwa mtu ambae hajathibitishwa na Mahakama kwamba ana hatia. Kufanya hivyo ni kuvunja na kubomoa Utawala wa sheria na kuhalalisha tuhuma za mtuhumiwa kitu ambacho ni hatari zaidi.

Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.
#MbowesioGaidi

A. Ndambo
 
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.

My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki

Hili ndilo jibu kwa Paul Kagame huko Kagera?? Najaribu kuunganisha Dots
 
Great.

Uzuri sisi Makamanda tuko mbele yao 1000miles ahead
 
View attachment 2116015

My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.

My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki

======

Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia watanzania na hasa kwenye masuala mazima ya makosa haya ya kutumia silaha na hasa makosa haya ya kutumia nguvu.

Huwa nawaambia siku zote, sisi tunafanya mafunzo ya promotion lakini mafunzo mengine ya utayari. Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu. Wanasema ni aibu sana gaidi kutawala nchi yetu, kwahiyo mheshimiwa waziri kwa kifupi ni kwamba tuko vizuri sana na nipeleke kwa ambao ni wachache bado wana tabu ile, nishawaambia kwamba biashara ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, nguvu ilishapitwa na wakati.
1) Kuna nyama ya mbuzi nzuri. 2) Kuna mikate. 3. Kuna pilipili hoho. Kwa hiyo, huu ni mlo kamili.
 
View attachment 2116015

My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.

My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki

======

Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia watanzania na hasa kwenye masuala mazima ya makosa haya ya kutumia silaha na hasa makosa haya ya kutumia nguvu.

Huwa nawaambia siku zote, sisi tunafanya mafunzo ya promotion lakini mafunzo mengine ya utayari. Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu. Wanasema ni aibu sana gaidi kutawala nchi yetu, kwahiyo mheshimiwa waziri kwa kifupi ni kwamba tuko vizuri sana na nipeleke kwa ambao ni wachache bado wana tabu ile, nishawaambia kwamba biashara ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, nguvu ilishapitwa na wakati.
Uhakika ni kwamba SIRRO ATAKIMBIA NCHI baada ya muda mfupi sana ujao
 
Hii nchi ni ya ajabu sana, inakuwaje watu wenye iq ndogo sana wanapata madaraka makubwa?
 
Back
Top Bottom