ITV wahojiwe kwa utapeli

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
Habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
 
Chukulia kwamba wewe una kituo cha habari.. anakuja mtu (mteja) na tangazo lake... Anataka liende hewani kupitia kituo chako cha habari.. na matangazo kwako ni biashara... Vipi mzee utalipeleka tangazo hewani ama utaliacha..??
 
habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vp chombo kikubwa kama itv, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba itv imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutanga hio kaylinda ilikua ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

itv mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi

uzi tiari
ITV miongoni mwa kazi zao ni kutangaza biashara halali. Kutapeliwa ni tamaa zako mwenyewe
 
habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vp chombo kikubwa kama itv, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba itv imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutanga hio kaylinda ilikua ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

itv mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi

uzi tiari
BOT na vyombo vya usalama ndo vijihoji.
 
Inawezekana ni mkakati wa kalyinda kumtafuta mtangazaji wa ITV kufanya nae mazungumzo ili kupata uelewa wa pamoja juu ya e commerce, kumbe sirini jamaa walikuwa wanajipromote, na picha/video zimetumika vizuri, wamevuna billion za kutosha wamesepa.

Zamani walikuwa wanatumika picha za viongozi, kila wakati wanabadilisha mbinu na wanavuna.
 
Chukulia kwamba wewe una kituo cha habari.. anakuja mtu (mteja) na tangazo lake... Anataka liende hewani kupitia kituo chako cha habari.. na matangazo kwako ni biashara... Vp mzee utalipeleka tangazo hewani ama utaliacha..??
Kwahiyo hata tangazo la ushoga? Ruska kwa kuwa mteja hee
 
Hujielewe!! Tena jikiruu kabisa..wale sio ITV ile ni page fake iliwekwa jina la ITV 😅😅😅 kama unabisha leta ile post hata followers wa ile pag kwani huoni ni wachache?, mafala kama nyie ndo wale Kuna page fake za millardayo eti anatoa mikopo na mnatapeliwa kuwa makini ITV ni smart Tena super brand utakwenda jela Kiande wewe wacha kuchagua jina ....Maoni yangu tafuta pesa maana akili haijakusaidia
 
hujui tu hio kitu ilikua inatangazwa kwenye kipindi cha michezo asubuhi.. unajifanya unajua kumbe choko tu 😂
 
Chukulia kwamba wewe una kituo cha habari.. anakuja mtu (mteja) na tangazo lake... Anataka liende hewani kupitia kituo chako cha habari.. na matangazo kwako ni biashara... Vp mzee utalipeleka tangazo hewani ama utaliacha..??
Bila sana kwenye kupokea matangazo hawaangalii fedha tu. Kuna vitu vingi inabidi wavitilie maanani. Kama unabisha peleka tangazo lako kesho linalosema ''watanzania wenzangu, tutaendelea kutozwa tozo zisizo na kichwa wala miguu mpaka lini? Kuanzia leo jitokezeni tupinge hii dhuluma kwa maandamano ya amani''. Jaribu kupeleka.
 
Fikiri kabla yaaaaa kuna ndg yangu hapa kesho ndy alikuwa anaanzaa yaani kama namuonaa jinsi ningekuwa na mmwagiaa maji kwa preshaa
 
Bila sana kwenye kupokea matangazo hawaangalii fedha tu. Kuna vitu vingi inabidi wavitilie maanani. Kama unabisha peleka tangazo lako kesho linalosema ''watanzania wenzangu, tutaendelea kutozwa tozo zisizo na kichwa wala miguu mpaka lini? Kuanzia leo jitokezeni tupinge hii dhuluma kwa maandamano ya amani''. Jaribu kupeleka.
Ndg kuna maandamano ya aman ndani yahii Nchi au umemiss maji ya upupu
 
Back
Top Bottom