israel

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Hezbolallah wasema Israel imepiga uraiani, hivi hivi ndivyo huwa mnalia hata kwa HAMAS

    Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on Thursday killed two rescuers and destroyed an ambulance, according to the Hezbollah-affiliated rescue...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini mgogoro wa palestine na israel unavuta hisia za watu wengi duniani

    Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani. Mfano: 1) India na Pakistan 2) China na India 3) China na Philippines 4) Nigeria na Cameroon 5) Tanzania na Malawi Migogoro...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania South Africa: Unyama wa Israel haukuanza Oct 7

    1. Kimeumana mahakamani "koleo" laitwa kwa jina lake: 2. Kuna wale wenye mahaba uchwara ya dini. 3. Kwamba hawawezi kujiuliza katika nchi zote, kwanini HAMAS wana taabu na Israel si Kenya wala Tanzania?
  6. kalipeni

    JamiiForums Tanzania Kwanini BBC hawaonyeshi live genocide case Afrika Kusini dhidi ya israel?

    Vyombo vyote vikubwa vya habari vinaonyesha live kesi inayoendelea genocide case iliyofunguliwa na serikali ya Afrika kusini dhidi ya Israeli lakini BBC ni kama hawajui kinachoendelea kwa sasa.
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth wasema wataendelea kuifunga Red Sea mpaka Marekani na Israel ziondoke Gaza

    Mjumbe wa baraza la mapinduzi la Yemen,Mohammed Ali Houth amejibu azimio la Umoja wa mataifa linaloitaka kuacha kushambulia meli kwenye bahari nyekundu. Akijibu azimio hilo,kiongozi huyo wa Houth amesema hawatoacha mashambulizi yao mpaka hapo Marekani itakapoacha kuiunga mkono Israel katika...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza. Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yazidi kunywea Gaza, yasema vita vimebadilika

    Miezi mitatu mbele tangu shambuliao la kihistoria la Hamas hapo oktoba 7 mwaka 2023, kwa mara ya mwanzo Israel imekiri kwamba vita vimebadilika. Msemaji wa jeshi la Israel katika mhojiaano na gazeti la New York times amedhihirisha hali hiyo ya mshangao. Msemaji wa Jeshi la Israel, Daniel...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

    Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto....... Hapa wamemuua kamanda...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu. Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa. Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na...
  13. biabia

    JamiiForums Tanzania Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel wametuma ujumbe EU kwa Hezbollah kuomba kusitishwa kwa mapigano' Hezbollah wamekataa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇪🇺 🇮🇱 Israeli inadai 'kusitishwa kwa mapigano' kupitia EU Josep Borell alikutana na ujumbe wa Hezbollah Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mambo ya nje Josep Borell, amekutana na ujumbe kutoka Hezbollah, katika jitihada za mwisho za kudhibiti mvutano kwenye mpaka wa...
  15. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Geopolitics 101: Case Study Israel v Houthis

    War and International Trade. Hivi ndio mizigo inasafirishwa kutoka Asia kwenda Israel. Impact: Bei za Bidhaa kupaa>Mfumko wa bei>>Uasi wa waIsrael dhidi ya Netanyahu. 📷 Sprinter.
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

    Hii habariya leo 6/01/2023 kutokea kwa kiboko ya mazayuni, Hezbollah imenifanya nicheke tu. Leo Hezbollah wameshambulia kambi ya anga yenye ndege na miundombinu ya kujihami angani kama vile "iron Dome" ya mazayuni. Cha kustuwa ni kuwa Hebollah wametumia aina 62 tofauti za missiles kwa muda...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Imani na historia potofu ilijengwa na wanazuoni wa Kiislamu juu ya Israel na Yerusalem chanzo cha vita ya sasa na baadaye

    https://youtu.be/4s9CaV03Uxs?si=TJFYLpOXfSocb_2W Ukisikiliza mafundisho ya huyu msomi mwanazuoni wa kislamu utapata ukweli na uongo juu ya taifa la Israel na ,Yerusalem ,ukristo na uislam.chanzo kikuu Cha vita ya Sasa na ya baadaye. Mfano wa uongo ni :Tangia lini Musa na wafuasi wake wakawa...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel waanza kushambulia Hezbollah, tofauti na awali pale walikua wanajibu mashambulizi

    Siku zote tumezoea kuona Israel wanajibu rockets za Hezbollah, na wamekua wakionya hao Hezbollah wapunguze kiherehere, lakini mtoto akililia wembe mpe tu. Sasa wameanza kupiga. Ikumbukwe kwa Hezbollah itakua rahisi sana maana wale hawajajificha ndani ya watoto na kina mama, huwa wamejikusanya...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Uturuki wakamata majasusi wa Israel

    Wanaukumbi. Dangerous These are the first scenes of the Mossad spies who were arrested by the Turkish police, and they included various nationalities from Palestine, Jews, Turkey, and other nationalities that were not disclosed. According to Turkish police reports, their plans were...
Back
Top Bottom