Chombo cha habari cha Israel chafafanua propaganda yaliyotokea Oktoba 7

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,111
Baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia nzima na hivyo kuipa Israel cover ya kwenda kufanya mauaji ya kimbari Gaza.

vyombo kadhaa vya habari vimeanza kujitokeza na kuusanua uongo huo.

Hapa ni chombo cha habari huko Israel kikionyesha wazi kuwa madai mengi ya yaliyotokea october 7 ni feki:

 
baada ya tukio la october 7, zilikuwepo taarifa za kuonyesha kuwa kulikuwa na unyama mkubwa sana uliofanywa na HAMAS siku hiyo ikiwemo ubakaji na mauaji ya watoto. Uongo huo ulisambazwa dunia nzima na hivyo kuipa Israel cover ya kwenda kufanya mauaji ya kimbari gaza.
vyombo kadhaa vya habari vimeanza kujitokeza na kuusanua uongo huo.
Hapa ni chombo cha habari huko Israel kikionyesha wazi kuwa madai mengi ya yaliyotokea october 7 ni feki:


View: https://www.youtube.com/watch?v=jp4uLjCztfI&ab_channel=TheYoungTurks

Propaganda za kiarabu hizo,hazitasaidia na kipigo wanachopata.
 
Jamaa waongo sana hawa.
Ukitaka cheka, nenda kuswali pretend kuwa ni muislam baada ya swala uwa kuna vistory vya hapa na pale vya waumini ndani ya misikiti.. Kila aina ya uwongo utasikia tena kutoka kwa watu wazima kabisa.
Shetani wao Al lah ameruhusu kudanganya kuwa sio dhambi kiimani yao..
 
Back
Top Bottom