Israel yakataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,331
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita na kuwaachilia mateka ili kubadilishana na kuondoa majeshi ya Israel, kuwaachilia wafungwa na kukubali utawala wa kundi linalojihami la Gaza.

Netanyahu, ambaye anakabiliwa na shinikizo la ndani la kuwarudisha mateka nyumbani, alisema kwamba kukubali masharti ya Hamas kutamaanisha kuwaacha kundi lenye silaha "halili" na kwamba wanajeshi wa Israel "wameanguka bure". Hamas bado inawashikilia watu 136 mateka, kwa mujibu wa maafisa wa Israel. Takriban Wapalestina 25,105 wameuawa huko Gaza tangu Israel itangaze nia yake ya kuiondoa Hamas kujibu mashambulizi ya kundi hilo la Oktoba 7.

Hamas siku ya Jumapili ilitoa ripoti ikielezea shambulio la kusini mwa Israel kama "hatua ya lazima na jibu la kawaida" kukiuka shutuma za mauaji ya halaiki huko Gaza? Video inasambaa katika vyombo vya habari vya Israel ambayo inalenga kuonyesha kujisalimisha kwa baadhi ya wapiganaji wa Hamas.

Taarifa mnazotoa za kujifariji tu kila siku netanyahu anatuma ujumbe qatar wakusitisha vita hamas wanamkomalia wanataka waachiwe ndugu zao waliopo jela za israel na wao wawaachie mateka ndio vita iishe
 
Hamas wanatawala wizara ya afya wanatangaza vifo vya magaidi wao kama vifo vya raia wa kawaida
Wagalatia mnakopi na Ku paste kila wanachoropoka waume zenu Huko Palestine.

Soma Ripoti ya UN uone kipi wanasema kuhusu Hao pimbi wenu.
Wanamme wazima wanaua watoto wasioweza kujibu mashambulizi.

Mbona wanaweza kuonyesha wanapokwenda na Hamas wanaonyesha Live video namna wanavyoua Wayahudi?

Kwanini IDF wasionyeshe wameua Hamas fighters wangapi?
Ina maana HAMAS wana Technology bora kuliko hao mashoga wa Kiyahudi?

Acheni kulishwa matango pori na nyie mkatuletea hapa bila kuosha.
 
We

We hata ukikuta mzayuni yuko juu ya kiuno cha mkeo utadai anamtoa pepo la kipwani.
Halafu utalaumu waislamu.
🤣🤣
Pole sana paroko.
Ujinga mzigo
Mimi nimezungumzia Ugaidi.

Wewe unazungumzia Uislamu.

Kwani kuna uhusiano gani kati ya pande hio mbili? mbona mwenzangu umeziweka ktk kundi moja?
 
Mimi nimezungumzia Ugaidi.

Wewe unazungumzia Uislamu.

Kwani kuna uhusiano gani kati ya pande hio mbili? mbona mwenzangu umeziweka ktk kundi moja?
Unasema wazayuni waendelee kuua magaidi gaza.
Mpk sasa watoto chini ya miaka 10 waliouawa ni zaidi ya 15000. Kwako wewe hao wote magaidi au sio?
Makafiri Chuki mlizonazo zinawamalize wenyewe.
Uislam hakuna wa kuuzuia.
Ni km Tsunami iliojaa baraka nyingi sana.
 
Pumbaaav jibu swali kwanza.

Umeuliza swali unarukaruka kama mmasai aliepigwa rungu la kichwa,
Sheikh Vp tena Au majini yamepanda kichwani?!
 
Umeuliza swali unarukaruka kama mmasai aliepigwa rungu la kichwa,
Sheikh Vp tena Au majini yamepanda kichwani?!
Huyo mgalatia hana busara za kuweza kuuliza swali.
Sema amerusha mipasho km wale waimba mchiriku.

Kafiri yyt ameshalishwa matango pori na mzungu.
Kaambiwa waislamu ni magaidi na yeye km vile mke asie na busara kila kitu anaitikia tu "tawile bwanaangu".

Pumbaff kabisa hawa viumbe.
Ndo maana wanauziwa maji ya azam mkidanganywa ya upako.
Kijiko buku.
Teh teh teh.
Duniani kweli wajinga hawawezi kumalizika.
 
Umeuliza swali unarukaruka kama mmasai aliepigwa rungu la kichwa,
Sheikh Vp tena Au majini yamepanda kichwani?!
Huyo mgalatia hana busara za kuweza kuuliza swali.
Sema amerusha mipasho km wale waimba mchiriku.

Kafiri yyt ameshalishwa matango pori na mzungu.
Kaambiwa waislamu ni magaidi na yeye km vile mke asie na busara kila kitu anaitikia tu "tawile bwanaangu".

Pumbaff kabisa hawa watu.
Ndo maana wanauziwa maji ya azam wakidanganywa ya upako.
Kijiko buku.
Teh teh teh.
Duniani kweli wajinga hawawezi kumalizika.
 
Unataka dunia ibakie na mlobarikiwa pekee?
Makafiri huwa wanauziana baraka.
Wao ukiwa na elf 10 tu unaenda kanisani weekend unampa mchungaji anakupa baraka za elf 10.
Ukitoa laki anakupa baraka za familia yako yote.
Ukitoa laki 5 anakupa na pepo kabisa. Yaani anakupa guaranteed utakaa kiti kimoja na Yesu.

Ukitoa milion hata Yesu itabidi akusubiri uingie wewe kwanza peponi.
🤣🤣
Yaani hawa watu kwenye kufikiri hata yule ngedere afadhali
 
Wakristo wengi akili hawana
Kuna kanisa huko wanapewa baraka kwa kuogeshwa juice
Sasa wewe una imajine huu ujinga wao umefikia level hii kweli hawa wajinga
 
Back
Top Bottom