israel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiyahudi afanya uchunguzi wa DNA na kugundua hana uhusiano wowote na Israel ya kale

    Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale. Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

    Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

    Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania News alerts: Jeshi imara la Israel lamuua Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha kigaidi cha Wapalestina cha slamic Jihad

    Hamjamboni nyote Taarifa kamili ipo hapo chini ya operesheni iliyofanywa na IDF huko Gaza. Kazi nzuri ya kusafisha magaidi inaendelea vizuri FRIDAY, JANUARY 19, 2024 IDF: Deputy head of Palestinian Islamic Jihad’s propaganda unit killed in Gaza airstrike The IDF and Shin Bet security...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

    Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  8. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa. Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani...
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania USA, UK wanataka vita itapakae kwa makusudi kabisa

    Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani. Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa. Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

    Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas. Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho. Fuatilia utagundua hilo
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni Picha zozote za Makomandoo wa Israel, Marekani, China, Russia na Rwanda wakiwa na Fire Extinguishers Miilini mwao

    Mkiambiwa hamna Akili mnaninunia!
  16. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

    Ni aje waungwana, Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Watu waanza kurudi kwenye majumba yao Gaza ya kaskazini huku majeshi ya Israel yakiondoka kwa kasi.

    Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia Hayo yanatokea wakati hakuna hata lengo moja la vita lililowekwa na Israel ambalo limetimizwa. Zaidi ya hayo kuna hali...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo ICJ

    1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39. 2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake? 3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka mno mazungumzo na Sauzi na eti kuwa ni u kichwa ngumu tu, wa Sauzi kukimbilia mahakamani? 4...
  19. ward41

    JamiiForums Tanzania Majina ya wa israel

    Ukiangalia mpaka sasa hivi majina ya Wa Israel ni Yale Yale ya kwenye Biblia Ukisoma Biblia utakutana na majina mengi ya wa Israel. Mfano ni Ehud Barrack, Ariel Sharon, Benjamin Netanyahu, Shimon Peres, Naftari Bennett, David Ben Gurion. nk Kwa hao wanaosema hawa sio wa Israel ni muongo.
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yasema itaendelea na uhusiano mwema na Israel baada ya vita

    Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal...
Back
Top Bottom