Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,191
10,926
Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.

Katika hali hiyo sasa Israel imeomba kwa Hamas wakubali kusitisha vita kwa miezi miwili na iwaachie mateka inaowashikilia ambao kila Israel inavyobomoa hospitali zote za Gaza imeshindikana kuwaokoa na kuishia kuua watu wasiohusika wakiwemo wagonjwa.

Pendekezo jengine La Israel ni kutaka viongozi wa Hamas ambao bado wapo Gaza katika kipindi hicho waondoke waende wakaishi nje.

Sami Abu Zuhri, mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Hamas amesema kuachiwa mateka kwa kusitishwa vita kwa miezi 2 tu haitoshi. Wanachotaka wao ni vita visitishwe moja kwa moja na watu waendelee kurudi majumbani mwao

===

After heated meetings over the Israel-Hamas conflict and hostage situation, the Jewish country’s war cabinet approved a new plan coordinated with Qatari and Egyptian negotiators that could see the more than 130 hostages held by Hamas released, two Israel officials close to the talks told Axios.

The hostage deal would see all the women and men who are over 60 years old and who are in critical condition or have severe health problems released first.

The next phase would free the hostages who are not affiliated with the Israel Defense Forces. After that, Hamas would release Israeli soldiers, as well as the bodies of hostages who died while in captivity, the officials said.

In exchange for freeing the hostages, Israeli officials would agree to release Palestinian prisoners in its jails, with separate negotiations scheduled on who would be allowed to walk free.

In previous deals brokered by Qatar, Israel agreed to free three prisoners for every hostage released. But major hurdles remain to seal the deal.

The proposed plan emphasizes that the cease-fire would be only temporary, with the IDF set to be deployed away from the Gaza Strip’s largest cities so as to allow Palestinians to return to their homes.

New York Post
 
Hahahaa
Nani anaomba poo hapo?

Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita.Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.

Israel proposes 2-month truce in exchange for freeing all the hostages: report

Attachments

  • 20240123_071812.jpg
    20240123_071812.jpg
    63.6 KB · Views: 1
Hahahaa
Nani anaomba poo hapo?
Mtu mzima jeshi kubwa unaomba mapumziko ya miezi miwili kwa wanamgambo!?
Hamas anachotaka malengo yatimie lengo lake ni kuachiwa kwa wafungwa woote wa kipalestina.
Ila km hilo halijatimia basi vita haitaishia hapo.
Kumbuka 2014 km sijakosea Israel iliachia wafungwa maelfu wa kipalestina kisa askari mmoja tu wa IDF.
 
Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita.Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.
Katika hali hiyo sasa Israel imeomba kwa Hamas wakubali kusitisha vita kwa miezi miwili na iwaachie mateka inaowashikilia ambao kila Israel inavyobomoa hospitali zote za Gaza imeshindikana kuwaokoa na kuishia kuua watu wasiohusika wakiwemo wagonjwa.
Pendekezo jengine La Israel ni kutaka viongozi wa Hamas ambao bado wapo Gaza katika kipindi hicho waondoke waende wakaishi nje.
Sami Abu Zuhri ,mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Hamas amesema kuachiwa mateka kwa kusitishwa vita kwa miezi 2 tu haitoshi.Wanachotaka wao ni vita visitishwe moja kwa moja na watu waendelee kurudi majumbani mwao

Israel proposes 2-month truce in exchange for freeing all the hostages: report

Kila nikikumbuka mauaji ya Joshua nasema Israel msirudishe nyuma majeshi piga hao mafarisayo mpaka wachakae
 
Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.

Katika hali hiyo sasa Israel imeomba kwa Hamas wakubali kusitisha vita kwa miezi miwili na iwaachie mateka inaowashikilia ambao kila Israel inavyobomoa hospitali zote za Gaza imeshindikana kuwaokoa na kuishia kuua watu wasiohusika wakiwemo wagonjwa.

Pendekezo jengine La Israel ni kutaka viongozi wa Hamas ambao bado wapo Gaza katika kipindi hicho waondoke waende wakaishi nje.

Sami Abu Zuhri, mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Hamas amesema kuachiwa mateka kwa kusitishwa vita kwa miezi 2 tu haitoshi. Wanachotaka wao ni vita visitishwe moja kwa moja na watu waendelee kurudi majumbani mwao

===

After heated meetings over the Israel-Hamas conflict and hostage situation, the Jewish country’s war cabinet approved a new plan coordinated with Qatari and Egyptian negotiators that could see the more than 130 hostages held by Hamas released, two Israel officials close to the talks told Axios.

The hostage deal would see all the women and men who are over 60 years old and who are in critical condition or have severe health problems released first.

The next phase would free the hostages who are not affiliated with the Israel Defense Forces. After that, Hamas would release Israeli soldiers, as well as the bodies of hostages who died while in captivity, the officials said.

In exchange for freeing the hostages, Israeli officials would agree to release Palestinian prisoners in its jails, with separate negotiations scheduled on who would be allowed to walk free.

In previous deals brokered by Qatar, Israel agreed to free three prisoners for every hostage released. But major hurdles remain to seal the deal.

The proposed plan emphasizes that the cease-fire would be only temporary, with the IDF set to be deployed away from the Gaza Strip’s largest cities so as to allow Palestinians to return to their homes.

New York Post
Hamas wasikubali...kipigwe mpk tujue wale wayahudi kweli au mapandikizi ya ki amerika kuja kuleta wizi middle east
 
Hii habari lazima itakuwa ni ya uongo.
Nilishasema sana kuwa mtu yyt mwenye kuabudu Sanamu la mzungu ameshalishwa matango pori kwa kuaminishwa kuwa Israel ni taifa takatifu.
Kwahio hata akimkuta muisraeli anambaka mkewe atasema macho yake hayako sawa. Huyo Muisraeli hawezi kubaka labda alikuwa anamtoa pepo .

Ugalatia mzigo mkubwa sana.
 
Unavuta bangi? Mbona kama umechanganyikiwa? Naona ume reply kwenye ujumbe wangu lakini ulichoandika hakiendani na ujumbe wangu.
 
Bangi hata Paulo alivuta saana tu. Mpk akapigwa mawe huko antiokia na wayahudi.

Jibu langu huwezi kulikubali we myahudi wa bonyokwa.
Ulitaka nikujibu unavyotaka wewe au!
 
Back
Top Bottom