israel

  1. Jasusi wa Iran adakwa Israel

    Nianze kwa Mastory. Kwanza ieleweke, pamoja na kile kinachoonekana kuwa ni uadui mkubwa kati ya Israel na Iran, kamwe uhasimu huu haupo kwa raia wa nchi hizi. Uhasimu ni kwa serikali zao, lakini, miongoni mwa raia maisha yanaendelea kama kawaida na kuna to and fro za kawaida kati ya raia wa...
  2. Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
  3. Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kitendo cha serekali kumpa mtu ambaye ni muislamu mhamiaji kutoka Syria kuchoma biblia na torah nje ya ubalozi wa Israel kama njia ya kulipiza kisasi kwa kuchomwa quran nje ya ubalozi wa Iraq mwezi uliopita ni kitendo cha ujasiri sana. Na pia kimeonyesha pasipo shaka wazungu wako mbali sana...
  4. Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    Rais wa Israel amelaani kitendo cha Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Torah Kumbuka hivi karibuni Sweden ilitoa kibali cha uchomaji wa quran. Sweden inasema ni haki ya mtu kufanya anachokitaka ili mradi havunji sheria. Updates Jamaa aliekua achome Biblia na Torah kwenye...
  5. Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  6. Waarabu sasa ndio wananunua silaha nyingi kutoka Israel

    Jameni Waswahili mlioaminishwa na mwarabu kuichukia Israel, tambueni hali imebadilika kule, mwarabu amesalimu amri, ananunua silaha kutoka Israel tena kwa gharama kubwa sana. ============ Israeli defence exports hit an all-time high of $12.5 billion last year, with Arab countries that recently...
  7. I

    Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  8. B

    Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

    Aliyekuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte Powdrell amemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano. Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
  9. Israel yamuua kamanda wa kundi wa Islamic Jihad huko Gaza

    Shambulio la anga la Israel la mapema alfajiri limemuua kamanda mkuu wa kundi la Islamic Jihad (PIJ) na wanamgambo wengine wawili mjini Gaza. Ndege ya kivita ilishambulia ghorofa ya tano ya jengo la makazi la Hamad , karibu na Khan Younis kusini mwa eneo hilo. Siku ya Jumatano wanamgambo huko...
  10. Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  11. Jinsi Iran walipanga ugaidi dhidi ya Israel, hawa ndio wanataka waachiwe wajihami kwa nyuklia

    Taarifa zimeibuka za namna Iran iliwasaidia magaidi wa kidini kushambulia Israel kwa rockets, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa, hili taifa la Iran hulia lia likitaka liachiwe lijihami kwa nyuklia..... Esmail Qaani, who leads Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps’ elite Quds Force, has...
  12. K

    Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

    Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine. Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
  13. UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  14. Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

    Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini. Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu. Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo...
  15. Jeshi la Israel laua Wapalestina 10 huko Ukingo wa Magharibi

    Vikosi vya Israel vimewauwa Wapalestina tisa, wakiwemo watatu waliojihami kwa silaha, raia watatu, na kuwajeruhi wengine zaidi ya 90, katika Ukingo wa Magharibi. Watu walioshuhudia na madaktari wamesema kuwa mauaji hayo yamefanyika katika operesheni iliyoendeshwa kwenye eneo tete, lenye...
  16. Israel Defence Forces wakiwa Uturuki kuwaokoa waathirika wa Tetemeko. Nchi zetu za Kiarabu zinasubiri nini? Iran

    Nimeshangaa sana hawa Waisrael ambao hatuishi kuwasema kwa ubaya wamekuwa mstari wa mbele kwenda kuokoa Waarabu wa Uturuki. Pamoja na Ukafir wao. But nashangaa Iran huyu ambaye nampenda sababu anajaribu sana kumsaidia Mrusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amenyamaa tu. Saud Arabia, Iraq,Pakistan...
  17. Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

    Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine. Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita. Kulingana na Netanyahu...
  18. Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  19. Operesheni ThunderBolt: Mkakati wa Kuokoa Mateka wa Israel Entebe - Uganda

    Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii ilitua katika uwanja Athens ikiwa safarini kutoka Tel Aviv Israel kuelekea Paris Ufaransa. Mpaka...
  20. Iran yalia lia na kulaumu Israel kwa masaibu yanayoikumba

    Maandamano yanaendelea Iran ya kupinga dhuluma za dini ya kiislamu, huku serikali ikiua wananchi, ila wakuu wa nchi wanalaumu Israel kwa yale yanayoendelea... ===================== "Various security services, the fake Israeli regime and some Western politicians have planned a civil war...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…