Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,195
10,929
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.​

Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto mkubwa unaokaribia mawinguni kila baada ya robo saa kwa usiku na mchana.

Mapigo hayo yamefanyika huku jiji hilo likiwa limekatiwa umeme,chakula na maji.Katika hali hiyo kila mmoja alihofia kuwa wapiganaji wa Hamas wameshadhoofika na kufa ndani ya mahandaki yako.

Kinyume chake wameibuka juu na kukanusha madai ya Israel kwamba kwamba kundi hilo limepoteza udhibiti wa Gaza.Pamoja na kukanusha huko wamesambaza video ambayo imethibitishwa na televisheni kadhaa ikiwemo aljazeera ikiwaonesha wapiganaji hao wakiripua vifaru ya Israel kwa kutumia bunduki za RPG.

Video na ukanushaji huo wa Hamas unakubaliana na madai yao kuwa wameshauwa askari wengi wa Israel na kuhjaribu magari yao 136 na kwamba jeshi hilo kwa sasa limeshindwa kusonga mbele.

Uwezekano wa kutosonga mbele utaongezeka pindi Hamas wakiweza kuhimili kipigo kwa wiki chache zijazo,
 
Jiulize kwanini Israel imekata mawasiliano yote na imechagua waandishi wa habari wa kufuatana nao na wamepewa sharti la kutorusha habari zao mpaka kwanza zisomwe na IDF.
Kwa rehema za Mungu vita hivi ni tofauti na walivyopigana miaka ya nyuma.Yajayo ni kheri kubwa.
 
Najiuliza sana kwanini hao HAMAS wenyewe wasiingie ndani ya ISRAEL na kuisamabaratisha kabisa?

kwanini wadokoe dokoe kama PANYA na kukimbilia kwenye mashimo?
 
Jiulize kwanini Israel imekata mawasiliano yote na imechagua waandishi wa habari wa kufuatana nao na wamepewa sharti la kutorusha habari zao mpaka kwanza zisomwe na IDF.
Kwa rehema za Mungu vita hivi ni tofauti na walivyopigana miaka ya nyuma.Yajayo ni kheri kubwa.
Inajua mnaeneza sana propaganda

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza.

Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto mkubwa unaokaribia mawinguni kila baada ya robo saa kwa usiku na mchana.

Mapigo hayo yamefanyika huku jiji hilo likiwa limekatiwa umeme,chakula na maji.Katika hali hiyo kila mmoja alihofia kuwa wapiganaji wa Hamas wameshadhoofika na kufa ndani ya mahandaki yako.

Kinyume chake wameibuka juu na kukanusha madai ya Israel kwamba kwamba kundi hilo limepoteza udhibiti wa Gaza.Pamoja na kukanusha huko wamesambaza video ambayo imethibitishwa na televisheni kadhaa ikiwemo aljazeera ikiwaonesha wapiganaji hao wakiripua vifaru ya Israel kwa kutumia bunduki za RPG.

Video na ukanushaji huo wa Hamas unakubaliana na madai yao kuwa wameshauwa askari wengi wa Israel na kuhjaribu magari yao 136 na kwamba jeshi hilo kwa sasa limeshindwa kusonga mbele.

Uwezekano wa kutosonga mbele utaongezeka pindi Hamas wakiweza kuhimili kipigo kwa wiki chache zijazo,
1699522057870.png
 
Idf waoga sana ndio maana walitaka internet isiwepo ili kuficha aibu
 
Umeanzisha ugomvi kwa jirani Kisha unakimbilia kwako jamaa anakufuata mpaka huko unafika unafunga mlango wa nyumba jamaa anakuja anabomoa anaingia ukumbini unakimbilia chumbani ( Gaza city) bado jamaa anakufuata huko huko, unafikiri huko chumbani huyo jamaa atakufanya nini kama sio kukutatua marinda.

Makamanda wa Hamas siku hadi siku wanazidi kupukutika na baada ya kuona Hali inazidi kuwa tete Hamas wameomba ceasefire japo ya siku 2 tu kisha watawaachia mateka 15 wa kigeni, IDF wamewambia hakuna kitu kama hicho mkitaka waachieni wote hapo ndio tutalifikiria ombi lenu.
 
Umewahi kuona paka aliyefukuzwa mpaka ndani ya chumba anavyokuwa mkali.
Na umejiuliza imekuwaje Israel kama wamewafuata Hamas kweli mpaka ndani ya vyumba mbona hawajatoka na hata mateka mmoja.
 
Punguza ndoto za mchana. IDF wameshachukua ngome kubwa ya Gaza na Sasa kazi ilibakia ni kufukia mashimo.
 
Back
Top Bottom