The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.
Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
Wakuu habari za wakati huu
Jobless Mimi Nina kipengele kimoja ili kukidhi matakwa ya hizi nafasi za ajira TAKUKURU. Advance nimesoma private mpaka namaliza nilikuwa nadaiwa 1m+ hivyo sikuchukua CHETI.
Wakuu nafikiria namna ili niweze kupata CHETI niweze kuapply PESA YA KULIPA NACHODAIWA SINA...
Kumiliki gari ni anasa.
Kuna mtu anavipenda sana vi BMW MINI sasa tukawa tunacheki cha 2013 tumekielewa. Tukapata cheap kabisa Mil 5.6 Bila negotiations.
Tukajua TRA itacheza kwenye Mil 5 hivi au 6. Aisee.
Nadhani ataenda kununua pikipiki ya umeme uyu.
Tumekuwa tukifundishwa neno la Mungu na watumishi mbalimbali wengine ni wanazuoni na wengine ni wale waliojifunza kutoka kwa wanazuoni lakini wapo pia wale waliozaliwa na uwezo huo.
Ukweli ni kuwa ipo mikabala mkubwa miwili ya kiufundishaji kithiolojia na hapa ndipo tunapoona mambo mengi ambayo...
Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
Habari za mida wakuu..
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni binafsi..
Napata mshahara wa wastani tu ila nilitamani niwe na biashara yangu ya pembeni ambayo itanisaidia kuongeza kipato.
Ila changamoto ni muda, huwa naingia job asubuhi natoka saa 12 jioni na sina hata offdays ..
Hivi ni biashara gani...
Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo...
Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu wengi sasa hutegemea kadi badala ya kutembea na pesa taslimu. Lakini swali linabaki: kati ya Credit...
Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250
Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na...
Wasalaam aleykum,
Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital...
Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe!
Uvimbe...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo
Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto
Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani.
material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Native ni nini ?
"Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo.
HTML, css, js ni nini ?
HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.