U usertz Member Joined Nov 6, 2025 Posts 14 Reaction score 11 Mar 17, 2026 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba ushauri ni friji ipi nzuri ya kununua kati ya hizo nilizotaja hapo juu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba ushauri ni friji ipi nzuri ya kununua kati ya hizo nilizotaja hapo juu
M2flan JF-Expert Member Joined May 22, 2013 Posts 1,226 Reaction score 587 Mar 17, 2026 #2 Boss na hisense ndio fridge zisizo na stress
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,842 Reaction score 3,371 Mar 19, 2026 #3 Midea ni kampuni kubwa sana kwenye Home appliances hususani za jikoni, shida iko hapa, Je ni Midea original.....!?
Midea ni kampuni kubwa sana kwenye Home appliances hususani za jikoni, shida iko hapa, Je ni Midea original.....!?
U usertz Member Joined Nov 6, 2025 Posts 14 Reaction score 11 Mar 20, 2026 Thread starter #4 Baba Rhobi said: Midea ni kampuni kubwa sana kwenye Home appliances hususani za jikoni, shida iko hapa, Je ni Midea original.....!? Click to expand... Je, kuna namna ya kujua kama ni og au feki
Baba Rhobi said: Midea ni kampuni kubwa sana kwenye Home appliances hususani za jikoni, shida iko hapa, Je ni Midea original.....!? Click to expand... Je, kuna namna ya kujua kama ni og au feki
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 7,917 Reaction score 15,649 Mar 20, 2026 #5 M2flan said: Boss na hisense ndio fridge zisizo na stress Click to expand... Hao ni takataka mbele ya midea
M2flan said: Boss na hisense ndio fridge zisizo na stress Click to expand... Hao ni takataka mbele ya midea