Nitumie short cut ipi nipate cheti cha A'LEVEL

Nitumie short cut ipi nipate cheti cha A'LEVEL

R_Breazy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
281
Reaction score
562
Wakuu habari za wakati huu

Jobless Mimi Nina kipengele kimoja ili kukidhi matakwa ya hizi nafasi za ajira TAKUKURU. Advance nimesoma private mpaka namaliza nilikuwa nadaiwa 1m+ hivyo sikuchukua CHETI.

Wakuu nafikiria namna ili niweze kupata CHETI niweze kuapply PESA YA KULIPA NACHODAIWA SINA kichwa kinauma kutafuta solution.
NAOMBENI MAWAZO YENU ili nifanikishe kukipata CHETI Kwa wakati, BODLY.
 
Dawa ya den n kulipa

Lakn nenda ofs ya mkuu wa wilaya elezea shida yako then labda wanaweza kupa kibal chakuchangisha hy pesa

Pili nenda shule kaongee nao labda wanaweza kukuelewa

Chuo ulipata bumu au ilikuaje?

Mwisho omba msaada humu wana jf hawana NOMA wanasaidiana SANA TU ila laZima uwe mkweli
 
Ni kweli dawa ya deni ni kulipa, saivi nipo dsm shule niliyosoma advance ipo Moshi (nilisomeshwa tu na mama mmoja baadae alipata changamoto mambo yakawa magumu, sasa niiende Kwa mkuu wa wilaya nipewe kibali, nilikosa selection) cha kuchangisha muda si rafiki pia sabu hapo ni process

Yes boom NILIPATA bila boom nisingeweza hata kidogo kuendelea na chuo

WAkuu naombeni support YENU, Mchango wako wa MAWAZO/ Fedha ni muhimu sana kufanikisha lililopo mbele yangu
Mawasiliano 0769442907
 
Back
Top Bottom