Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Facebook ametangaza kurudi hewani kwa mitandao hiyo ambayo ni Facebook, WhatsApp, instagram na messenger ambayo inamilikiwa na facebook.
Mark Zuckerberg amesema mitandao hiyo imerudi hewani saa moja lililo pita na kuwaomba radhi watumiaji wake kwa kusema anajua kiasi gani wanatumia huduma hiyo na walivyo teseka baada ya kutokuwa hewani kwa mitandao hiyo.
Ila facebook imeripoti kwa watumiaji wake kuwa ilikuwa inaweka vyema huduma zake na kwa sasa zipo vizuri na zimerudi hewani.