injili

  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima afanya mkutano wa Injili Kongwa, wengi wahudhuria mapepo yalipuka

    Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe jana alifanya mkutano mkubwa katika jimbo la Spika mstaafu mzee Ndugai katika kata ya Kibaigwa. Maelfu ya wana Kongwa walihudhuria na kupokea uponyaji ikiwemo kutolewa majini na mashetani pia. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  3. The druid

    JamiiForums Tanzania Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

    Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned? Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome. Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  6. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aliyehujumu mkutano wa Injili wa nabii Mwamposa hadi watu wakakanyagana na wengine kufa anakaribia kujulikana!

    Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi. Muhujumu wa mkutano ule wa Injili yu mbioni kuumbuka. Eid Mubarak!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya hayati Magufuli kufariki 'mikutano ya injili' imeanza

    moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana. mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha maombolezo sisi wapendwa tunafaidi sana nyimbo za injili maeneo ya starehe

    Yaani ni mwendo wa nyimbo za injili tuuu... upako kila sehemu. Bar zimegeuka platforms za nyimbo za injili ... safiii
  11. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli amehubiri injili kama wakina Petro na Yohana

    Ni mwanadamu wa kwanza duniani kuutangazia ulimwengu kipindi cha shida kwamba Mungu yupo na anaponya baada ya akina Petro na Yohana. Ni mwanadamu wa kwanza duniani kutamka Mungu oyeeeee bila kuogopa alimtangaza Mungu hadharani.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee, hata Yesu alihubiri Injili kwa miaka mitatu tu!

    Askofu Malasusa wa DMP amesema kinachoangaliwa siyo wingi bali ubora wa kazi uliyoifanya hapa duniani na kwamba hayati Magufuli amehudumu kwa muda mfupi kama Rais lakini kazi zake ni nyingi na bora. Hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa kipekee barani Afrika. Askofu Malasusa amesema hayo...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

    Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake. Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari. Iwapo...
  14. Mnyatiaji

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

    Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Huyu mwimbaji nguli wa Muziki wa Injili anakuja wiki hii kutoka Afrika Kusini

    Anakuja kwenye Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu linalotarajiwa kufanyika tarehe 19/12/2020, yaani Jumammosi ya wiki hii.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Ashley Nassary ndiye mwanamuziki bora wa Injili kwa wanaoimba kwa kutumia lugha ya Kiswahili

    Huyu kijana ni most talented na amejaa mafuta ya Roho wa Mungu. Mungu amwinue zaidi
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Msanii maarufu wa nyimbo za injili Kizito Mihigo akutwa amejinyonga ndani ya Kituo cha Polisi

    Polisi ya Rwanda imetangaza kwamba msanii maarufu wa nyimbo za injili, Kizito Mihigo amekutwa amejinyonga kwenye Kituo cha Polisi. Kwa mujibu wa tangazo la Polisi, maiti ya msanii huyo imepatikana katika chumba alichokuwa anazuiliwa kwenye Kituo cha Polisi mtaa wa Remera, mjini Kigali. Polisi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Injili na Qur'an ni Neno la Mungu siyo makaratasi yanayoshikika mkononi!

    Ni swala la uelewa tu na wala halihitaji nguvu kubwa wala kutunisha msuli. Ni kwamba hakuna binadamu mwenye uwezo wa kulichanachana au kulichoma moto NENO la Mungu. Kwahiyo tusikuze mambo ambayo kimsingi tulipaswa kuyapuuza. Si vema, busara wala haki kuruhusu mihemko ya kidini isiyo ya lazima...
  19. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda nyimbo za injili tukutane upendo TV

    Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza...
  20. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

    Habari Wana JF Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu. Sasa naendelea na hoja kama kichwa...
Back
Top Bottom