Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

ahsante sana Mkuu.
tunajielekeza huko.
"Tusihukumu tusije hukumiwa"Hallelujah zandrano na wewe unamjua Mungu?Na wewe unatambua kuwa Yesu Kristo ni Bwana?Na wewe unaijua Sabato?Na wewe unajua ubatizo wa Toba na wewe unaijua hukumu.Nimefurahi na kuhuzunika moyoni kwa akili yako.
 
Nawajua sana hao. Walinidhulumu na pesa yangu.
Nilifanya kazi ya ujenzi hapo kanisani. Wakanidhulumu na pesa yangu. Nawakumbuka sana hao wasabato
 
Back
Top Bottom