Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,111
27,096
Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned?

Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome.

Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia kupromote event ya wahusika.

Habari za huu mkutano zimefika hadi Nigeria kwenye blog ya LindaIkeji.

Ni mkutano utakaofuatiliwa na mamilioni ya watu.

Mwanzoni nilikuwa nikipishana na haya mabandiko nilikuwa nachukulia poa tu kama mkutano wa kawaida. Lakini Sasa hivi naanza kuhisi huenda huyu mtumishi atakaye hudumu kwenye huu mkutano ana nguvu na kusudi la Mungu ndani yake.

Watakao pata bahati ya kuhudhuria mkutano wa huyu Mtumishi Kuna kitu fulani kutoka kwa Mungu watakipata

Big up Sana kwenu.

udakutz__1632511043003464.jpg
 
Marko 16: 15 - 18

Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
 
Amen
 
Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned?

Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome.

Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia kupromote event ya wahusika.

Habari za huu mkutano zimefika hadi Nigeria kwenye blog ya LindaIkeji.

Ni mkutano utakaofuatiliwa na mamilioni ya watu.

Mwanzoni nilikuwa nikipishana na haya mabandiko nilikuwa nachukulia poa tu kama mkutano wa kawaida. Lakini Sasa hivi naanza kuhisi huenda huyu mtumishi atakaye hudumu kwenye huu mkutano ana nguvu na kusudi la Mungu ndani yake.

Watakao pata bahati ya kuhudhuria mkutano wa huyu Mtumishi Kuna kitu fulani kutoka kwa Mungu watakipata

Big up Sana kwenu.

View attachment 1951362
Asante sana mkuu na wewe kwa kuendelea kupromote...nami nachukua fursa hii adhimu..kukuaribusha wewe na familia yako..marafiki na majirani zako. Huu si mkutano wa kukosa. Wale wahenga wezangu tulikua tunasoma katikati ya mji enzi hizo..pale Azania na jangwani ukisikia Reinard Bonke yuko mjina lazima tuturoke kipindi cha jion kuwahi...huyu ndio mtoto wake wa kiroho...aliemwachia huduma.si kama wahubiri wetu wengi bongo..wenye matangazo ya mafuta..keki za upako nk...huyu ni neno tu..pata maarifa..jenga imani..kisha muujiza unakuja bila mafuta wala mbwembwe.

Nashauri wale wenzangu wasipenda injili za magumashi..huku ndio kunatufaaa. Karibuni sanaaaaaaaaa!
 
Anaitwa Nani Jina lake?
 
Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned?

Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome.

Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia kupromote event ya wahusika.

Habari za huu mkutano zimefika hadi Nigeria kwenye blog ya LindaIkeji.

Ni mkutano utakaofuatiliwa na mamilioni ya watu.

Mwanzoni nilikuwa nikipishana na haya mabandiko nilikuwa nachukulia poa tu kama mkutano wa kawaida. Lakini Sasa hivi naanza kuhisi huenda huyu mtumishi atakaye hudumu kwenye huu mkutano ana nguvu na kusudi la Mungu ndani yake.

Watakao pata bahati ya kuhudhuria mkutano wa huyu Mtumishi Kuna kitu fulani kutoka kwa Mungu watakipata

Big up Sana kwenu.

View attachment 1951362
Inaonekana either una umri mdogo au una chuki za kidini.Waulize waliokuwepo kipindi cha THE BIG NOVEMBER CRUSADE
 
Miezi kadhaa nyuma nilikua Korogwe nikiwa pale kuna gari la kutangaza mkutano wa injili likawa linapita miongoni mwa tangazo ni kwamba kila atakayeenda atapata sahani ya ubwabwa na maharage.

Mimi nikasema haiwezekani watu si wataenda wengi sana. Wenyeji wakaniambia inawezekana kwakua ilishawahi kufanyika kabla ya hapo so kila anayeenda ana uhakika wa wali harage.

Mhubiri alikua huyo mzungu kama sikosei.
 
Back
Top Bottom